UGANDA

Wanandoa wakumbana na karaha badala ya raha, kisa? COVID-19

Katika mada kwa kina leo tunaelekea  Uganda, kumulika mizozo ya kifamilia wakati huu wa mlipuko wa COVID-19 na madhara yake.

Sauti -
5'51"

22 Mei 2020

Leo Ijumaa tuna mada kwa kina tunamulika ukatili unaofanyika majumbani kutokana na zuio la kutoka nje lililowekwa kwa sababu ya ugonjwa wa virusi vya Corona au COVID-19.

Sauti -
11'22"

Maji ziwa Victoria yakijaa, Uganda yachukua hatua kuepuka mafuriko

Wanamazingira wanahusisha kiwango cha athari za mafuriko mitoni, ziwani na kwenye maeneo mengi oevu na kutotumia mazingira kwa njia endelevu, la sivyo madhara yasingehusisha binadamu moja kawa moja hasa makaazi.

Sauti -
3'44"

07 MEI 2020

Katika Jarifda la Habari hii leo kwenye Umoja wa Mataifa Flora Nducha anakuletea

Sauti -
12'

COVID-19 yazidisha changamoto za chakula Uganda

 Njanga la virusi vya corona au COVID-19 limewaacha raia wengi nchini Uganda wakiwa na changamoto ya kipato  hali ambayo

imechangia kuongeza changamoto ya uhakika wa chakula.  Mwandishi wetu wa Uganda John Kibego  mevinjari katika maeneo

Sauti -
4'3"

Unyanyapaa ni changamoto kubwa katika vita dhidi ya COVID-19 Uganda

Suala la unyanyapaa wa aina yoyote ile ni mtihani mkubwa katika jamii kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa ambao hutoa wito kila uchao kuhakikisha changamoto hiyo inatokomezwa .Wakati huu wa mlipuko wa janga la virusi vya Corona au

Sauti -
6'25"

24 APRILI 2020

Katika Jarida la Habari hii leo Flora Nducha anakuletea

Sauti -
10'46"

Nchini Uganda na Afrika Kusini, UN yazindua ombi la ufadhili kupambana na COVID-19 

Nchini Uganda, ambako kuna wagonjwa 56 wa COVID-19, Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini humo, Rosa Malango hii leo amezindua ombi la dharura la dola milioni 316 za Marekani kwa ajili ya kushughulikia janga hili. 

23 APRILI 2020

Katika jarida la Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea 

Sauti -
11'13"

Baada ya mimba ya utotoni , nina matumaini ya Maisha:Msichana Lydia

Mimba za utotoni ni changamoto kubwa na tishio kwa mustakbali wa wasichana wengi ambao hulazimika kuacha shule na kuwa mama katika umri mdogo na wengine hata kujikuta katika ndoa za utotoni.Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa vyote viwili mimba na ndoa za utotoni vinaweka hatarini Maisha ya wasichana

Sauti -
3'21"