UGANDA

30 Oktoba 2018

Miongoni mwa habari tulizo nazo hii leo ni pamoja na :

Sauti -
12'5"

Uhakiki wabaini wakimbizi hewa Uganda, idadi kamili sasa ni milioni 1.1- UNHCR

Kazi ya kuhakiki wakimbizi na wasaka hifadhi nchini Uganda kwa kutumia alama za vidole na macho imekamilika kwa kubaini wakimbizi hewa 300,000 na pia kugundua kuwepo kwa wakimbizi waliotoka kambi ya Kakuma nchini Kenya.

Sauti -
1'31"

Wakimbizi halali Uganda ni milioni 1.1; yasema UNHCR

Kazi ya kuhakiki wakimbizi na wasaka hifadhi nchini Uganda kwa kutumia alama za vidole na macho imekamilika kwa kubaini wakimbizi hewa 300,000 na pia kugundua kuwepo kwa wakimbizi waliotoka kambi ya Kakuma nchini Kenya. Assumpta Massoi na taarifa kamili.

Msanii mchoraji mwenye ulemavu wa macho.

Msanii Ritah Kivumbi anapenda sana tasnia ya sanaa ya uchoraji ingawa yeye ni ana ulemavu wa kutokuona. Alipata tatizo hilo alipokuwa mtu mzima.

Sauti -
4'36"

Siku ya UN, wakimbizi Uganda wapaza sauti

Ikiwa leo ni siku ya Umoja wa Mataifa, makundi mbalimbali yamezungumzia kile ambacho chombo hicho kinawasaidia katika zama za sasa zilizogubikwa na changamoto lukuki.

Sauti -
3'23"

Teknolojia yaisaidia Uganda kukusanya takwimu za wananchi kuhusu  SDG’s

Kongamano la takwimu la Umoja wa Mataifa linaendelea mjini Dubai katika Falme za Kiarabu  huku wataalamu na wawakilishi kutoka mataifa mbalimbali wakijadili hatua wazochukua katika ukusanyaji wa takwimu na umuhimu wake katika utekelezaji wa malenmgo ya maendeleo endelevu, SDG’s.

WFP yasaka suluhu la uhaba wa chakula na utapiamlo, Uganda.

Kutokana na kuongezeka kwa utapiamlo na uhaba wa chakula katika wilaya ya  Kampala nchini Uganda, Shirika la mpango wa chakula la Umoja wa Mataifa WFP kwa ubia na Mamlaka ya Jiji Kuu la Kampala watafuta suluhu.

Sauti -
1'40"

WFP yasaka suluhu la uhaba wa chakula na utapiamlo, Uganda

Shirika la mpango wa chakula la Umoja wa Mataifa WFP kwa ubia na Mamlaka ya Jiji Kuu la Kampala (KCCA), wameanzisha juhudi za kushughulikia tatizo la uhaba wa chakula na utapiamlo unaoongezeka katika wilaya ya Kampala ambayo ni sehemu ya kati mwa mji mkuu wa Uganda. 

Uganda imesema mkutano kati ya UN na AU ni ishara ya kupewa kipaumbele mawazo ya Afrika.

Mkutano wa AU na UN ukielekea ukingoni mjini New York, Uganda yasema ni ishara ya kupatiwa kipaumbele mawazo ya  bara la Afrika. 

Sauti -
1'29"

18 Oktoba 2018

Kamishina mkuu wa haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa Michelle Bachelet awaambia SPLA-IO(RM) waachilieni huru wananchi mnaowashikilia mateka. Uganda yafurahishwa na mkutano wa AU na UN, yasema ni ishara ya kupatiwa kipaumbele mawazo ya bara la Afrika.

Sauti -
9'38"