UGANDA

Vijana wakishikwa watashikamana kuleta maendeleo katika jamii

Vijana ni nguzo muhimu ya kufanikisha ufanisi wa malengo ya maendeleo endelevu au SDGs kwa kuwa wana uwezo na  busara kuweza kuongoza dunia kesho na hata leo. Ili kutimiza hayo vijana hao wanapaswa kuwezeshwa leo kwa kupewa mafunzo yanayohitajika ,ikiwemo kupata elimu ya kutosha, kupata chakula,

Sauti -
4'

Vijana nchini Uganda waamua kusalia vijijini, kulikoni?

Uganda ina watu wapatao milioni 44 kwa mujibu wa makadirio ya idadi ya watu ya Umoja wa Mataifa na idadi hii inawakilisha aslimia 0.58 ya idadi yote ya watu duniani., na kati yao watu wanaoishi mijini ni kama asilimia 17 tu waliosalia huishi mashambani au vijijini.

Sauti -
1'41"

25 Julai 2018

Jarida la leo na Flora Nducha limejaa taarifa za kufurahisha na kufurahisha.

Sauti -
11'27"

Vijana nchini Uganda waamua kusalia vijijini, kulikoni?

Uganda ina watu wapatao milioni 44 kwa mujibu wa makadirio ya idadi ya watu ya Umoja wa Mataifa na idadi hii inawakilisha aslimia 0.58 ya idadi yote ya watu duniani., na kati yao watu wanaoishi mijini ni kama asilimia 17 tu waliosalia huishi mashambani au vijijini.

Juhudi za wanawake kujikwamua kiuchumi Uganda zaghubikwa na changamoto

uhudi za  wanawake kujikwamua kiuchumi Uganda zaghubikwa na changamoto

Sauti -
3'32"

Ndoto zilizoingia katika mashaka ukimbzini, Uganda.

Vijana  ndio nguzo za kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu, SDGs, kwani ndio viongozi wa sasa na  wa hapo baadaye. Lakini wengi wanakabiliwa na  changamoto za kuweza kufanya vitu ambavyo vitawafaa hapo baadaye. Hali ya vijana katika mataifa yanayaoinukia ni ya shida mno.

Sauti -
3'45"

Msaada wa IOM kunusuru wakimbizi wanaopitia ziwa Albert Uganda

Katika kuhakikisha usalama wa wakimbizi wanaotoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na  kuingia Uganda kupitia Ziwa Albert, Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM), kwa ufadhili wa mfuko wa Umoja wa Umoja Mataifa wa misaada ya dharura (CERF), limetoa vifaa kwa polisi wanamaji wa ziwa hilo. 

Sauti -
1'38"

Msaada wa chakula kutoka Korea Kusini kukomboa wakimbizi Uganda

Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), nchini Uganda limepokea kwa mikono miwili, msaada wa chakula kutoka kwa Serikali ya Korea Kusini kwa ajili ya kusaidia wakimbizi katika nchi hiyo. 

Sauti -
1'6"

WFP yakaribisha msaada wa chakula kwa wakimbizi kutoka Korea Kusini

Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), nchini Uganda limepokea kwa mikono miwili, msaada wa chakula kutoka kwa serikali ya Korea Kusini kwa ajili ya kusaidia wakimbizi katika nchi hiyo.