UGANDA

Kampuni ya Kijerumani yatuzwa Uganda kwa uhifadhi wa mazingira

Umoja wa Mataifa unahimiza uhifadhi na ulinzi wa mazingira kama njia mojawapo ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, ikiwa ni lengo namba 13 la malengo ya maendeleo endelevu, SDGs.

Sauti -
3'42"

Msaada wa Sweden kuleta nuru ya afya kwa wakazi wa Magharibi mwa mto Nile Uganda

Baada ya Sweden kupitia shirika lake la misaada ya maendeleo ya kimataifa, SIDA kuitikia wito wa usaidizi wa fedha wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, Unicef nchini Uganda, sasa kuna matumaini makubwa ya kwamba huduma za afya kwa wajawazito, barubaru na watoto wachanga zitaimarika. 

Wanafunzi Hoima wapaza sauti dhidi ya ukatili wa kijinsia

Hatimaye siku 16 za kupiga vita na kutokomeza ukatili wa kijinsia kwa mwaka huu wa 2018 zimefikia tamati ambapo maeneo mbalimbali duniani yametamatisha kampeni hiyo kwa matukio tofauti.

Sauti -
3'38"

Madagascar, Uganda na Zambia ziko tayari kufaidika na fursa za uchumi wa kidijitali.

Tathimini  iliyochapishwa na Kamati ya Umoja wa Mataifa ya biashara na maendeleo UNCTAD kuhusu utayari wa biashara mtandaoni, imeonesha mitandao ya simu inachochea biashara za mtandaoni katika nchi za Madagascar, Uganda na Zambia.

07 Desemba 2018

Ajali za barabarani zaendelea kuwa mwiba kwa maendeleo ya binadamu, ingawa baadhi ya nchi zimechukua hatua.

Sauti -
11'4"

Uganda na DRC zakubaliana kuchukua hatua kuepusha kuenea kwa Ebola mpakani mwao

Katika juhudi za kudhibiti mlpuko wa ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), mamlaka wa mpakani nchini humo na wanzao kutoka Uganda wamekubaliana kuimarisha ufuatiliaji wa virusi vya ugonjwa huo kwa kushirikiana Zaidi. Maelezo Zaidi na John Kibego.

(Taarifa ya John Kibego)

Sauti -
1'26"

Ufuatiliaji waimarishwa mpakani kudhibiti mlipuko wa ebola, Uganda na DRC

Katika juhudi za kudhibiti mlipuko wa ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), mamlaka wa mpakani nchini humo na wenzao kutoka Uganda wamekubaliana kuimarisha ufuatiliaji wa virusi vya ugonjwa huo kwa kushirikiana zaidi.

UNICEF na WFP zazindua mradi wa kuboresha lishe Uganda

Mashirika ya Umoja wa Mataifa, lile la kuhudumia watoto,  UNICEF na la mpango wa chakula, WFP wamezindua mradi wa kuboresha huduma za lishe miongo

Sauti -
1'35"

Mradi wa kuboresha lishe wazinduliwa Uganda: UNICEF/WFP

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF na shirika la mpango wa chakula duniani , WFP leo wamezindua mradi wa kuboresha huduma za lishe miongoni mwa watoto katika eno la Karamoja Kaskazini Mashariki mwa Uganda Kwa msaada kutoka kwa Uingereza.

27 Novemba 2018

Jaridani hii leo Arnold Kayanda anaanzia huko Nairobi nchini Kenya ambako kunafanyika mkutano juu ya matumizi endelevu ya bahari na mchango wake katika malengo ya maendeleo endelevu, SDGs.

Sauti -
11'9"