Akihutubia mkutano wa jukwaa la usimamizi wa intaneti,IGF,unaofanyika hii leo mjini Paris Ufaransa, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema, katika miaka 13 tangu mku
Kamati ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imebaini kwamba Ufaransa ilikiuka haki za bindamu za wanawake wawili, pale ilipowalipisha faini kwa kuvaa baibui, vazi la kiislamu linalofunika mwili mzima.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani vikali shambulio la leo mjini Ouagadougou nchini Burkina Fasso, dhidi ya makao makuu ya jeshi la nchi hiyo na ubalozi wa Ufaransa.