UDHR70

Hali ya baadhi ya wafanyakazi ughaibuni inasikitisha- Emma Mbura

Ibara ya 23 ya tamko la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa inasema kila mtu ana haki ya kufanya kazi, kuchagua kazi anayoifanya, kufanya kazi katika mazingira salama na ulinzi dhidi ya ukosefu wa ajira.

Sauti -
5'14"

30 Novemba 2018

Jaridani hii leo tunaanzia mkoani Shinyanga nchini Tanzania, ambako mkazi mmoja wa wilaya ya Kahama amesimulia ni kwa vipi ameishi kwa matumaini kwa takribani miongo mitatu akiwa na VVU.

Sauti -
11'31"

Utamaduni hutumiwa kama kisingizio kubinya haki kadhaa

Mila na desturi za kitamaduni zina mchango mkubwa katika jamii endapo zitaenziwa kwa kuheshimu haki zingine za binadamu. Hata hivyo wakati mwingine jamii hutumia haki za kitamaduni kama kisingizio cha kukandamiza wengine au kubinya haki zingine za binadamu katika jamii. 

Sauti -
1'21"

Utamaduni haupaswi kuwa kisingizio cha kubinya haki zingine

Mila na desturi za kitamaduni zina mchango mkubwa katika jamii endapo zitaenziwa kwa kuheshimu haki zingine za binadamu. Hata hivyo wakati mwingine jamii hutumia haki za kitamaduni kama kisingizio cha kukandamiza wengine au kubinya haki zingine za binadamu katika jamii. 

Ushiriki na upatikanaji wa huduma za jamii bado ni mtihani Tanzania:Dkt.Bisimba

Utekelezaji wa tamko la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa ni moja ya wajibu mkubwa wa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa walioridhia tamko hilo la mwaka 1948. 

Kubadili mifumo ndio muarobaini wa haki za huduma za jamii Tanzania: Dkt.Bisimba

Nchini Tanzania ingawa katika katiba  imeaainishwa haki za huduma za jamii kwa wote, mifumo iliyopo inafanya kuwa changamoto kubwa ya utekelezaji wa haki hizo. Hayo yamesemwa na Dkt.Helen Kijo Bisimba mwanaharakati wa muda mrefu wa haki za binadamu nchini humo.

Sauti -
5'29"

29 Novemba 2018

Leo katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa Arnold Kayanda anakuletea

Sauti -
14'4"

Mwanafamilia hapaswi kushinikizwa kujiunga au kutojiunga na kikundi - UDHR

Tamko la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa, #UDHR likitimiza miaka 70 mwezi disemba mwaka huu wa 2018, harakati mbalimbali zimekuwa zikifanyika ili kukumbusha binadamu haki zao za msingi zilizotajwa bayana ndani ya nyaraka hiyo yenye ibara 30.

Katu mtu asilazimishwe kujiunga na chama hata ndani ya familia- Wakili Komba

Tamko la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa ambalo mwaka  huu linatimiza miaka 70 tangu kuasisiwa lina ibara 30 ambazo ni msingi wa haki za binadamu kote duniani.

Sauti -
4'18"

28 Novemba 2018

Katika Jarida la Habari hii leo arnold Kayanda anaangazia 

-Mchango mkubwa wa rasilimali ya bahari itakapotumika vyema Afrika Mashariki

-Upunguzaji wa gharama za uagizaji, uzalishaji na usafirishaji ndio muarobaini wa biashara Afrika imesema UNCTAD

Sauti -
12'50"