Uchumi

Wakati ni sasa wa kumuinua mwanamke wa kijijini: Sudan Kusini

Huko Sudan Kusini maadhimisho ya Siku ya Mwanamke Duniani yaliambatana na burudani ya ngoma za asili na ujumbe wa kudumisha amani  na hasa ulinzi na usalama kwa kuwashirikisha zaidi wanawake ambao ni waathirika wakubwa wa machafuko.

Sauti -
3'45"

Nchi maskini zichagize ukuaji uchumi kufikia SDGs- UNCTAD

Kasi ukuaji uchumi kwa nchi maskini zaidi duniani inapaswa kuongezwa ili ziweze kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu mwaka 2030 ikiwemo kutokomeza umaskini.