ubongo

Madawa ya kulevya huathiri sehemu ya ubongo iliyo karibu na sikio- Daktari

Leo ni siku ya kimataifa ya mapambano dhidi ya matumizi na usafirishaji haramu wa mihadarati. Kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa ni haki kwa ajili ya afya na afya kwa ajili ya haki.

Sauti -
2'14"

Utipwatipwa na uvutaji sigara vina uhusiano

Utafiti mpya umebaini kuwa watu ambao kwao unene au utipwatipwa ni asili au jambo la kurithi kwenye familia zao wako hatarini zaidi kuwa wavutaji sigara, na wanaweza kuvuta sigara kwa kiwango kikubwa zaidi.  Grace Kaneiya na ripoti kamili.

Watoto milioni 17 wanavuta hewa yenye sumu duniani:UNICEF

Takribani watoto milioni 17 wenye umri wa chini ya mwaka mmoja wanaishi katika maeneo ambayo hewa chafuzi ni mara sita zaidi ya kiwango cha juu cha kimataifa na kuwasababisha kuvuta hewa yenye sumu ambayo huweka maendeleo ya ubongo wao hatarini.

Sauti -

Watoto milioni 17 wanavuta hewa yenye sumu duniani:UNICEF