Watu 135,000 wametawanywa na mafuriko katika eneo la Bor na Twic kwenye jimbo la Jonglei nchini Sudan Kusini huku wengine wakipoteza kila kitu kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini humo. Jason Nyakundi na maelezo zaidi.
Watu 135,000 wametawanywa na mafuriko katika eneo la Bor na Twic kwenye jimbo la Jonglei nchini Sudan Kusini huku wengine wakipoteza kila kitu kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini humo.