TV

UN yasema TV bado haijapoteza dira licha ya teknolojia mpya:

Televisheni bado ni chombo muhimu cha mawasiliano duniani liacha ya kuzuka kwa teknolojia mpya ambazo zimechukua nafasi kubwa ya maisha ya watu limesema shirika la Umoja wa Mataifa la elimu , sayansi na utamaduni ,

Sauti -
1'34"

TV bado haijapoteza dira licha ya teknolojia mpya:UN

Televisheni bado ni chombo muhimu cha mawasiliano duniani licha ya kuzuka kwa teknolojia mpya ambazo zimechukua nafasi kubwa ya maisha ya watu, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la elimu , sayansi na utamaduni, UNESCO.