Tuzo ya Nobel

Tuzo ya Nobel ya mwaka 2020 yaenda kwa WFP

Kamati ya tuzo ya amani ya Nobel yenye makao yake nchini Norway leo imelitangaza shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani

Sauti -
3'8"