Tuzo ya Nobel

Chanda chema huvikwa pete ni yali ya WFP mshindi wa tuzo ya Nobel 2020

Mkurugenzi mtendaji wa shirika la mpango wa chkula la Umoja wa Mataifa WFP David Beasly ameiasa dunia kutumia utariji wake kuhakik

Sauti -
2'39"

Tuzo ya Nobel ya mwaka 2020 yaenda kwa WFP

Kamati ya tuzo ya amani ya Nobel yenye makao yake nchini Norway leo imelitangaza shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani

Sauti -
3'8"

Nadia Murad ashutumu ukosefu wa nia ya kumaliza ukatili wa kijinsia unaotumika kama mbinu ya vita. 

Katika mazingira ambayo mwanamke mmoja kati ya wanawake watatu duniani kote ameathiriwa  na unyanyasaji wa kijinsia, uhalifu ambao unapaa zaidi kwa asilimia 200 katika mazingira ya mizozo, mshindi wa tuzo ya Nobel Nadia Murad amezishutumu serikali za ulimwengu kwa kushindwa kutoa rasilimali zinazohitajika kutengeneza mabadiliko ya kweli kwa jamii ambazo zimeathiriwa.