Sajili
Kabrasha la Sauti
Shirika la afya duniani WHO leo limesema ugonjwa wa virusi vya corona au COVID-19 umeanza kushika kasi tena baada ya kuripotiwa visa vipya zaidi ya 183, 000 kwa siku moja, ikiwa ni idadi kubwa zaidi hivi sasa.