TEF

15 Aprili 2019

Hii leo kwenye Jarida la habari za Umoja wa Mataifa, Grace Kaneiya anaanzia Libya ambako mapigano kwenye mji mkuu Tripoli, yazidi ku sababisha vifo miongoni mwa raia. Sudan Kusini wanawake wafurahi vituo vilivyojengwa na Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kuwawekea maeneo salama.

Sauti -
12'23"

UNICEF na TEF wawapa tuzo waandishi 10 kwa uandishi bora wa habari za watoto nchini Tanzania

Nchini Tanzania, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF kwa kushirikiana na Jukwaa la wahariri, TEF, wamewatunukia tuzo waandishi wa habari 10 ambao wameangazia kwa ubora habari zinazowahusu watoto katika mwaka 2018/19.

Kanuni za mtandao Tanzania zasitishwa kwa muda

Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Mtwara imezuia kwa muda matumizi ya kanuni mpya za maudhui ya habar iza mtandaoni nchini humo. Kanuni hizo zilikuwa zianze kutumia kesho tarehe 5 Mei 2018, na zinatokana na Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta ya mwaka 2018.

Sauti -
6'8"

Matumizi ya kanuni mpya za maudhui ya mtandao yazuiliwa kwa muda Mtwara

Nchini Tanzania hii leo Mahakama Kuu kanda ya Mtwara imezuia kwa muda kuanza kwa matumizi ya kanuni mpya za maudhui ya mtandao nchini humo.

Sauti -
2'22"