TANZBATT_13

Sasa maandazi, kalmati, karanga za maziwa vyapigwa Menawash, shukrani TANZBATT_13

Tukiwa tunaendelea kumulika ripoti mbalimbali kuhusu wanawake kuelekea siku ya wanawake duniani wiki ijayo, tunarejea tena huko Darfur nchini Sudan kwa mlinda amani wa Umoja wa Mataifa kutoka Tanzania Sajini-Taji Felista Temba ambaye pamoja na kuwa ni mtaalamu wa afya kitaalamu ametumia pia fursa

Sauti -
2'14"

Ulinzi wa amani ulienda sambamba na mafunzo ya mapishi kwa wanawake Darfur- Sajini-Taji Felista

Tukiwa tunaendelea kumulika ripoti mbalimbali kuhusu wanawake kuelekea siku ya wanawake duniani wiki ijayo, tunarejea tena huko Darfur nchini Sudan kwa mlinda amani wa Umoja wa Mataifa kutoka Tanzania Sajini-Taji Felista Temba.

 

03 Machi 2021

Hii leo jaridani tunamulika siku ya usikivu wa masikio duniani halikadhalika siku ya wanyamapori duniani. Kumbuka kuwa mtu mmoja kati ya wanne yuko hatarini kupoteza uwezo wa sikio lake kusikia. Je wewe unatunza sikio lako namna gani?

Sauti -
11'59"

02 Machi 2021

Hii leo jaridani, Flora Nducha anaanzia huko Somaliland ambako Umoja wa Mataifa umepeleka mashine za kuwezesha wagonjwa kuvuta hewa ya oksijeni wakati huu hospitali zimezidiwa kutokana na  janga la

Sauti -
14'3"

19 Februari 2021

Leo ni Ijumaa na kama ilivyo ada ni mada kwa kina na tunakwenda Darfur nchini Sudan hususan eneo la Khor Abeche ambako hatimaye wiki hii kambi ya Khor Abeche iliyokuwa inatumiwa na walinda amani wa Tanzania katika UNAMID imekabidhiwa rasmi kwa serikali ya Sudan kufuatia kukamilika kwa majukumu ya

Sauti -
12'41"

UNAMID yakabidhi kambi ya Khor Abeche Darfur kwa serikali ya Sudan 

Hatimaye kambi ya Khor Abeche iliyokuwa inatumiwa na walinda amani ujumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika jimboni Darfur, UNAMID imekabidhiwa rasmi kwa serikali ya Sudan kufuatia kukamilika kwa majukumu ya ulinzi wa aman jimboni humo.