Tanzania

Bado kuna changamoto lakini umuhimu wa huduma za wakunga ni mkubwa 

Hii leo dunia ikiadhimisha siku ya wakunga duniani, wananchi katika mataifa mbalimbali wameendelea kuhamasishwa kuzitumia huduma zinazotolewa na wakunga wataalamu ili kupunguza vifo vya watoto na akina mama wakati wa kujifungua na hata baada ya hapo wakati wa makuzi ya mtoto.

Sauti -
3'4"

Msaada waliotupatia UNFPA umetusaidia kuendeleza huduma za wakunga-Wakunga Tanzania

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya wauguzi na wakunga , Umoja wa Mataifa kupitia shirika lake la afya WHO umesema mchango wa wahudumu hao wa afya hauna kipimo hasa wakati huu ambao janga la virusi vya corona au COVID-19 linaitikisa dunia na wao wako msitari wa mbele kupambana nalo. Kaulimbiu ya mwaka huu ni "waunge mkono wauguzi na wakunga".

Chama cha wakunga Tanzania tunawashauri wakunga wote kutumia vifaa vilivyotakaswa wakati huu wa COVID-19:Lucy Mabada

 Dunia ikielekea kuadhimisha siku ya wakunga hapo kesho tarehe 5 Mei, Chama cha wakunga Tanzania (TAMA) kimewapa ushauri wakunga wote kuzingatia kuvaa vifaa muhimu vilivyotakaswa hususani wakati huu wa

Sauti -
3'30"

Mchango wa Balozi Mahiga hautosahaulika-Balozi Manongi

Kwa watu waliofanyakazi kwa karibu na Balozi Mahiga wakati wa uhai wake wanasema alikuwa mfano wa mfano wa kuigwa na wanajivunia sana kumfahamu.

04 Mei 2020

 Leo katika Jarida la Umoja wa Mataifa tutaskia :

-Mwendazake Balozi Augustine Mahiga  na mchango wake katika Umoja wa Mataifa.

-Kwa watu waliofanyakazi kwa karibu na Balozi Mahiga wakati wa uhai wake wanasema alikuwa mfano wa mfano wa kuigwa na wanajivunia sana kumfahamu .

Sauti -
13'17"

Vyombo vya habari Tanzania vyachukua hatua kuendelea na kazi hata katikati ya COVID-19

Ikiwa bado tunamulika harakati za vyombo vya habari kuendelea kupasha umma habari katika zama hizo za mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Corona, COVID-19, nchini Tanzania vyombo vya habari navyo vimechukua hatua kuhakikisha vinaendelea kuhabarisha, kuburudisha na kuelimisha jamii licha ya kuwepo kwa mlipuko huko.

Balozi Mahiga alikuwa mwanadiplomasia aliyejizatiti - UN

Umoja wa Mataifa umeelezea masikitiko yake kufuatia kifo cha Waziri wa Katiba na Mambo ya Sheria wa Tanzania, Dkt. Augustine Mahiga kilichotokea leo Alfajiri kwenye mji mkuu wa nchi hiyo, Dodoma.
 

29 APRILI 2020

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea

Sauti -
11'40"

27 APRILI 2020

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea 

Sauti -
11'

22 APRILI 2020

Leo katika jarida la Umoja wa Mataifa Flora Nducha anakuletea

Sauti -
12'44"