Tanzania

28 Mei 2020

-Leo katika Jarida la Umoja wa Mataifa :

-Shirika la Umoja wa Mataifa la uhamiaji IOM  la sema tushikamane kuchangia na kuwanusuru Wasyria na  COVID-19

Sauti -
13'21"

Walinda amani wanawake kutoka Tanzania wasema, "wanawake DRC wanafunguka zaidi kwetu kuelezea masahibu yao."

Kuelekea siku ya walinda amani duniani kesho Mei 29, siku ambayo mwaka huu inamulika wanawake walinda amani wa Umoja wa Mataifa na mchango wao katika ujenzi wa amani ya kudumu, tunamulika askari wanawake wa Tanzania wanaohudumu katika kikosi cha saba cha kikosi cha kujibu mashambulizi, FIB cha ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC.

Kinga dhidi ya COVID-19 yaleta fursa ya kipato kwa mwanamke mjasiriamali, Uganda

Mlipuko wa virusi vya corona duniani umekwamisha uchumi wa mataifa mengi na vyanzo vya mapato kwa watu wa karibu tabaka zote. Hata hivyo wale ambao wameweza kupunguza athari za maradhi haya kiuchumi ni wajasiriamali wabunifu wanaobadilika na mazingira yaliyopo.

Sauti -
4'1"

27 MEI 2020

Kwenya Jarida la Umoja wa mataifa hii leo
-COVID-19 yawa upenyo wa kutangaza maziwa ya kopo badala ya maziwa ya mama

Sauti -
12'31"

Kikundi cha Umoja ni Nguvu Kakonko chanufaika na mafunzo ya FAO

Shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa,

Sauti -
2'52"

FAO endeleeni kutuimarisha - Wanawake Kakonko

Shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa, FAO kwa ushirikiano na serikali ya Tanzania wamesaidia wakulima hususan wilayani Kakonko  mkoani Kigoma kupata mbinu bora za kilimo na kuondokana na kilimo cha mazoea na hatimaye waongeze mazao ili siyo tu kukabiliana na umaskini bali pia kutokomeza njaa.

Tanzania inavyokabili janga la corona

Ni miezi miwili na zaidi sasa tangu Tanzania itangaze mgonjwa wake wa kwanza wa virusi vya COVID-19.  Tangu tarehe 16 mwezi wa tatu mwaka huu mengi yamejiri nchini Tanzania kufuatia kuzuka kwa janga la ugonjwa huo unaoathiri dunia nzima.

Mbinu dhidi ya virusi vya Corona zachangia uhifadhi wa mazingira- UNEP

Naam na sasa tuelekee nchini Tanzania kusikiliza sehemu ya mchango au ushiriki wa shirika la mazingira la Umoja wa Mataifa UNEP katika mapambano dhidi ya virusi vya co

Sauti -
5'39"

25 05 2020

Katika Jarida maalum la habari hii leo Flora Nducha anakuletea

Sauti -
9'57"

Kemikali za sumu kwenye mazao ni ‘mwiba’ kwa asali bora

Kuelekea siku ya nyuki duniani kesho tarehe 20 mwezi Mei, wafugaji wa nyuki nchini Tanzania wamezungumzia umuhimu wa wakulima kuepuka kutumia kemikali za sumu ili kuhakikisha asali ya nyuki haina madhara yoyote kwa afya ya binadamu.