Tanzania

22 JUNI 2020

Katika Jarida la Habari za Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea

Sauti -
12'46"

Tuongezeeni muda wa kurejesha mikopo, COVID-19 imetuathiri – Watu wenye ualbino

Kuelekea siku ya kimataifa ya kuelimisha jamii kuhusu watu wenye ualbino kesho tarehe 13 mwezi Juni, baadhi ya watanzania wenye ualbino wamepaza sauti ya kile wanachoomba kifanyike kuwanusuru wakati huu wa janga la ugonjwa wa Corona au COVID-19.

Nishati ya Ethanol itakuwa mbadala wa mkaa-UNIDO Tanzania

Nishati ya ‘Ethanol’ inayotokana na masalia ya vitu mbalimbali kwa mfano mazao kama miwa, mahindi, viazi na hata ngano ni moja ya suluhisho linaloonekana kuwa mjarabu kwa uharibifu wa mazingira unaosababishwa na matumizi ya nishati kama mkaa.

Sauti -
3'43"

Tunawalinda wanafunzi na wafanyakazi dhidi ya COVID-19 hapa SJMC-UDSM

Nchini Tanzania wanafunzi wakiwa wamerejea vyuoni baada ya serikali kutangaza kufungua vyuo kutokana na hatua iliyopigwa katika mapambano dhidi ya virusi vya corona au COVID-19, Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma SJMC ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, UDSM,  imeonesha juhudi ilizozichukua ilikuzuia kusambaa kwa maambukizi ya COVID-19 .

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam tumezingatia ushauri wote wa kitaalam kuwalinda wanafunzi na wafanyakazi-Dkt Mwakitalu

Nchini Tanzania wanafunzi wakiwa wamerejea vyuoni baada ya serikali kutangaza kufungua vyuo kutokana na hatua iliyopigwa katika mapambano dhidi ya virusi vya corona au COVID-19, shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma SJMC ya Chuo Kikuu

Sauti -
2'27"

COVID-19: IMF yasamehe deni la Tanzania la dola milioni 14.3, msamaha zaidi watarajiwa

Shirika la fedha duniani, IMF limeipatia Tanzania msamaha wa deni la dola milioni 14.3 ili kuwezesha nchi hiyo kuhimili athari zitokanazo na janga la ugonjwa wa Corona au COVID-19.

Sauti -
2'11"

11 JUNE 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo
Sauti -
9'56"

COVID-19: IMF yasamehe deni la Tanzania la dola milioni 14.3, msamaha zaidi watarajiwa

Shirika la fedha duniani, IMF limeipatia Tanzania msamaha wa deni la dola milioni 14.3 ili kuwezesha nchi hiyo kuhimili athari zitokanazo na janga la ugonjwa wa Corona au COVID-19.

Chuo chetu kimechukua hatua za kujikinga na COVID-19, nasi tunachukua tahadhari zaidi

Katika harakati za kupambana na kuenea kwa ugonjwa wa COVID-19 nchi nyingi duniani zilichukua hatua ya kufunga taasisi za masomo kama shule na vyuo kwa kuwa maeneo hayo huwa na msongamano mkubwa wa watu.

Sauti -
3'10"

Kutoka koroboi hadi taa za sola Ziwa Victoria

Nchini Tanzania shirika la mazingira la Umoja wa Mataifa, UNEP limesaidia juhudi za kusambaza nishati jadidifu kwa wavuvi ili kupunguza uchafuzi wa mazingira utokanao

Sauti -
2'10"