Tanzania

Jamii yetu imenufaika sana na matangazo ya redio za kijamii.

Ikiwa leo ni siku ya redio duniani ambapo ulimwengu unakiangazia chombo hicho ambacho kwa miongo mingi kimekuwa muhimu kupitisha taarifa muhimu kwenda kwa jamii na pia kuwapa wanajamii fursa ya kueleza mawazo yao katika ujenzi wa maisha yao, Umoja wa Mataifa umeamua maadhimisho ya mwaka huu yalen

Sauti -
3'28"

Huduma tunazozitoa sisi wauguzi zimepunguza sana magonjwa Pangani

Kazi ya uuguzi ina panda shuka zake kama zilivyo kazi nyingine lakini kinachotufanya tuendelee kusonga mbele ni pale tunapoona watu wamepona na wameelimika kuhusu afya zao. Ni kauli ya Vailet Prosper ambaye amefanya kazi kwa muda mrefu katika Hospitali ya Pangani mkoani Tanga Tanzania.

Sauti -
3'55"

12 FEBRUARI 2020

Katika Jarida la Habari hii leo anold Kayanda kutoka Umoja wa Mataifa anakuletea

Sauti -
11'36"

Manusura wa ukeketaji na juhudi za kuwaokoa wasichana kuepukana na uovu huo Tanzania

Dunia imeendelea kupambana na ukatili mkubwa wanaofanyiwa wasichana na wanawake lilikwemo suala la ukeketaji ambapo sehemu ya kiungo cha uzazi cha mwanamke aghalabu wasichana wa umri mdogo hukatwa kutokana na imani za mila.

Sauti -
6'1"

07 FEBRUARI 2020

Jaridani Februari 07, 2020 na Anold Kayanda. Ikiwa leo ni Ijumaa utasikia Habari kwa ufupi, mada kwa kina imejikita katika suala la ukeketaji tukiangazia nchini Tanzania ambako manusura mmoja anapambana kuhakikisha hakuna mtoto mwingine wa kike atakayekumbana na madhila haya.

Sauti -
10'23"

Wanafunzi wenye ualbino tuna mahitaji mengi ili kuboresha taaluma yetu

Kama ilivyo nia ya jumla ya Malengo endelevu ya Umoja wa Mataifa yaani SDGs kuwa asiwepo hata mmoja atakayeachwa nyuma katika kufikia maisha bora duniani, wanafunzi wenye ualbino katika shule ya msingi Mazinyungu iliyopo wilayani Kilosa mkoani Morogoro Tanzania, wameiomba serikali na wadau mbalim

Sauti -
3'22"

Tangu nimeacha ungariba nimeshawaokoa wato takribani 150-Aliyeacha ungariba

Tukisalia katika suala hilo la maadhimisho ya siku ya kutokomeza ukeketaji hii leo shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya watu UNFPA lime

Sauti -
1'41"

06 Februari 2020

Ukeketaji unaathiri wasichana na wanawake na gharama ya matibabu ni dola bilioni 1.4 kwa mwaka kimataifa imesema WHO, Mwaka mmoja baada ya makubaliano ya aman

Sauti -
10'15"

Tangu nimeacha ungariba nimeshawaokoa watoto takribani 150-Aliyeacha ungariba

Tukisalia katika suala hilo la maadhimisho ya siku ya kutokomeza ukeketaji hii leo shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya watu UNFPA limefanya kongamano ambalo limewakutanisha jijini Dar es Salaam wadau mbalimbali ili kujadili namna bora ya kutokomeza vitendo vya ukeketaji.

Tanzania tunaenda vizuri katika sekta ya ukunga na uuguzi, ninachoomba ni kuongeza idadi ya wauguzi na wakunga- Beatrice Bernard Kambuga

Tukiendelea na mfululizo wa makala kuhusu wauguzi na wakunga, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha mwaka huu ulioteuliwa na Umoja wa Mataifa kuwa mwaka wa wauguzi na wakunga, leo tuko katika Hospitali ya Mkoa wa Kagera, Kaskazini Magharibi mwa Tanzania ambayo kwa siku hupokea na kutoa huduma ya uzazi k

Sauti -
5'47"