Tanzania

Wanaume waliona utamu wa kuongoza, wakawaacha dada zao-Getrude Mongela

Ulimwengu ukiwa katika siku 16 za uhamasishaji wa kupinga ukatili dhidi ya wanawake, pamoja na mengine, jamii inakumbushwa kuhusu lengo namba 5 la malengo ya Umoja wa Mataifa ya maendelepo endelevu, SDGs, lengo ambalo linahamasisha kuhusu usawa wa kijinsia.

Sauti -
3'21"

Tanzania kuongoza kamati ya Baraza Kuu la UN 

Tanzania imeteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hati za Utambulisho ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, New York, kwa mwaka 2020/2021.  

Wasichana tuache kusita, tuache kuwa vuguvugu, tumfuate Anangisye- Getrude

Kutana na msichana mtanzania Getrude Mligo, mwanaharakati kijana wa masuala ya kijinsia ambaye mazingira chanya ya makuzi yake yamemjenga na kuweza kuchukua hatua ya kusaidia watoto wengine wa kike na wasichana kujitambua.

Baba yangu asingemruhusu mama kusoma, nani angalikuwa anamlea hivi sasa? - Getrude

Suala la usawa wa jinsia ni suala mtambuka ambalo linahusisha taasisi mbalimbali ili liweze kufanikiwa katika taifa lolote lile. Hata hivyo taasisi ya familia ndio msingi mkuu wa kujenga au kubomoa dhana hii ambayo ni muhimu katika kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu, SDGs.

Sauti -
5'7"

Soko la Kakonko litasaidia kuinua uchumi wa jamii hususan wanawake Tanzania na Burundi

Biashara kati ya taifa moja na nyingine ni sehemu ya taswira ya kiuchumi na kijamii ya nchi nyingi barani Afrika na hususan maeneo ya mipakani. Na hali hiyo ndio inayoshuhudiwa mjini Kigoma mpakani mwa Tanzania na Burundi.

Sauti -
2'58"

Soko la mpakani Tanzania na Burundi ni daraja kwa ukuaji wa jamii hizo jirani 

Biashara kati ya taifa moja na nyingine ni sehemu ya taswira ya kiuchumi na kijamii ya nchi nyingi barani Afrika na hususan maeneo ya mipakani. Na hali hiyo ndio inayoshuhudiwa mjini Kigoma mpakani mwa Tanzania na Burundi.

Haki za wabunge zinabanwa hususan nchini Venezuela, Côte d’Ivoire na Tanzania-IPU

Muungano wa kimataifa wa mabunge IPU umesema umepokea madai mapya ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu dhidi ya wabunge wa upinzani katika nchi ambazo zinafanya uchaguzi na umetoa wito wa madai hayo kuchunguzwa haraka na kupatiwa ufumbuzi.

Sauti -
2'23"

Uchaguzi mwema Tanzania-UN 

Wakati watanzania wakijiandaa kushiriki uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika tarehe 28 Oktoba, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito kwa wadau wote wa kitaifa kuhakikisha kuwa upigaji kura unafanyika kwa umoja na kwa amani.  

Licha ya changamoto, mwanamke wa kijiji bado anajitahidi kujikwamua

Hivi karibuni dunia imeadhimisha siku ya mwanamke wa kijijini ikimulika harakati zao na changamoto wanazokumbana nazo hasa wakati huu wa janga la ugonjwa wa virusi vya Corona au COVID-19.

Sauti -
3'54"

Kupitia mradi wa FAO sasa naweza kusomesha wanangu- Mnufaika Tanzania 

Katika kumulika wito wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa kutaka uwepo wa mifumo himilivu ya kilimo na inayohakikisha upatikanaji wa chakula  shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa FAO nchini Tanzania linaendesha miradi kadhaa ya kilimo bora na uepushaji upotevu wa mazao kabla na baada ya kuvuna.