Tanzania

Kituo cha "Back to Life," Kimebadili vijana waraibu wa madawa kuwa wazalishaji badala ya wabomoaji

Ikiwa leo ni siku ya kupinga matumizi ya madawa ya kulevya duniani,  tunakwenda nchini Tanzania ambako kituo cha kusaidia waathirika kilichoko jijini Dar es salaam kimesaidia kuwabadili watumiaji wa madawa hayo kuwa wazalishaji ka

Sauti -
6'24"

26 JUNI 2020

Leo hii katika jarida la mada kwa kila la Umoja wa Msataifa Flora Nducha anakuletea

Sauti -
10'47"

"Back to Life," imebadili vijana waraibu wa madawa kuwa wazalishaji badala ya wabomoaji

Ikiwa leo ni siku ya kupinga matumizi ya madawa ya kulevya duniani,  tunakwenda nchini Tanzania ambako kituo cha kusaidia waathirika kilichoko jijini Dar es salaam kimesaidia kuwabadili watumiaji wa madawa hayo kuwa wazalishaji katika jamii. 
 

24 JUNI 2020

Katika Jarida la Umoja wa Matafa hii leo Flora Nducha anakuletea

Sauti -
12'43"

COVID-19 isitufanye tukayasahau mazingira-Clara Makenya

Tangu mlipuko wa virusi vya corona ulipoanza kusambaa duniani kote, vipaumbele vya nchi nyingi vimebadilika.

Sauti -
3'54"

22 JUNI 2020

Katika Jarida la Habari za Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea

Sauti -
12'46"

Tuongezeeni muda wa kurejesha mikopo, COVID-19 imetuathiri – Watu wenye ualbino

Kuelekea siku ya kimataifa ya kuelimisha jamii kuhusu watu wenye ualbino kesho tarehe 13 mwezi Juni, baadhi ya watanzania wenye ualbino wamepaza sauti ya kile wanachoomba kifanyike kuwanusuru wakati huu wa janga la ugonjwa wa Corona au COVID-19.

Nishati ya Ethanol itakuwa mbadala wa mkaa-UNIDO Tanzania

Nishati ya ‘Ethanol’ inayotokana na masalia ya vitu mbalimbali kwa mfano mazao kama miwa, mahindi, viazi na hata ngano ni moja ya suluhisho linaloonekana kuwa mjarabu kwa uharibifu wa mazingira unaosababishwa na matumizi ya nishati kama mkaa.

Sauti -
3'43"

Tunawalinda wanafunzi na wafanyakazi dhidi ya COVID-19 hapa SJMC-UDSM

Nchini Tanzania wanafunzi wakiwa wamerejea vyuoni baada ya serikali kutangaza kufungua vyuo kutokana na hatua iliyopigwa katika mapambano dhidi ya virusi vya corona au COVID-19, Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma SJMC ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, UDSM,  imeonesha juhudi ilizozichukua ilikuzuia kusambaa kwa maambukizi ya COVID-19 .

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam tumezingatia ushauri wote wa kitaalam kuwalinda wanafunzi na wafanyakazi-Dkt Mwakitalu

Nchini Tanzania wanafunzi wakiwa wamerejea vyuoni baada ya serikali kutangaza kufungua vyuo kutokana na hatua iliyopigwa katika mapambano dhidi ya virusi vya corona au COVID-19, shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma SJMC ya Chuo Kikuu

Sauti -
2'27"