Tanzania

29 APRILI 2020

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea

Sauti -
11'40"

27 APRILI 2020

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea 

Sauti -
11'

22 APRILI 2020

Leo katika jarida la Umoja wa Mataifa Flora Nducha anakuletea

Sauti -
12'44"

Mvua za kiholela zinatuchanganya- wakulima

Lengo namba 13 la malengo ya maendeleo endelevu, SDGs, ni mabadiliko ya tabianchi. Suala hili limezua sintofahamu miongoni mwa wakazi wa dunia hii kutokana na mabadiliko ya misimu ya mvua, jua na hata kupata vipindi vya mvua kupita kiasi. Wakulima wamechanganyikiwa bila kufahamu la kufanya.

Sauti -
3'51"

20 APRILI 2020

Katika Jarida la Habari hii leo Flora ucha kutoka Umoja wa Mataifa anakuletea

Sauti -
13'24"

Kazi ya bodaboda imeboresha maisha yangu na mume wangu-Cecilia Paul

Pamoja dunia hivi sasa kuwa na changamoto mpya kama mlipuko wa ugonjwa COVID-19, lakini mipango ya muda mrefu inaendelea kutekelezwa ili kutimiza kusudio kuu la kuyatimiza kwa ukamilifu maleng

Sauti -
3'45"

16 APRILI 2020

Miongoni wa habari ambazo Flora Nducha anakuletea katika Jarida la Umoja wa Mataifa hii leo

Sauti -
12'32"

Vijana Mwanza Tanzania wabuni mashine ya kusambaza maji kiteknolojia

Vijana jijini Mwanza Tanzania wamebuni mradi wa maji safi na salama kwa kutengeneza mashine za kielekroniki ikiwa ni sehemu ya juhudi zao kutimiza lengo namba sita la maendeleo endelevu ya Umoja wa Mataifa SDG ambayo yanategemewa kuwa yamekamilishwa kikamilifu ifikapo mwaka 2030.

Sauti -
4'2"

15 Aprili 2020

FLORA NDUCHA : Hujambo na Karibu kusikiliza Jarida kutoka Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa, kutoka hapa Marekani.

JINGLE (04”)

FLORA:Ni Jumatano  ya 15 Aprili mwaka 2020, mwenyeji wako hii leo ni mimi FLORA NDUCHA

Sauti -
12'5"

14 APRILI 2020

Katika Jarida la Habari za Umoja wa Maaifa hii leo Flora Nducha anakuletea

-Uganda yaongeza muda wa wiki tatu kutekeleza sheria za kupambana na virusi vya Corona au COVIDI-19 ikiwemo marufuku ya kutembea usiku, kutumia usafiri wa umma na magari binafsi.

Sauti -
14'1"