Tanzania

Wakunga wa jadi bado wana mchango mkubwa hususan nchini Tanzania

Katika makala ya wiki hii tutakuwa mkoani Kagera nchini Tanzania tukiendelea na mfululizo wa makala kuhusu wauguzi na wakunga na hii leo tukiangazia mkunga wa jadi ambapo Nicolaus Ngaiza wa redio washirika Kasibante FM amevinjari na  mkunga wa jadi wilayani Bukoba mkoa wa Kagera nchini Tanzania.

Sauti -
5'37"

Ukunga na uuguzi ni wito- Bwana Abdalla

Wakati dunia ikiadhimisha mwaka wa wakunga na wauguzi kutokana na mchango wa wahudumu  hao wa afya, shirika la afya ulimwenguni, WHO limesema sekta ya afya in

Sauti -
4'3"

Nilivutiwa kuwa muuguzi kwa sababu mama yangu alikuwa muuguzi-Jackline Ayuma

Wakati dunia ikiadhimisha mwaka wa wakunga na wauguzi, shirika la afya ulimwenguni limesema nguvu kazi thabiti ya kundi hilo ni muhimu katika kufikia afya kwa wote.

Sauti -
2'41"

Mchango wa wakunga wa jadi ni dhahiri hususan, Mwanza-Tanzania

Katika mfululizo wa makala zetu tukiangazia wakunga na wauguzi mwezi wa Februari, Leo tunaelekea mkoani Mwanza nchini Tanzania ambapo redio washirika, Redio SAUT, iliyoko mkoani Mwanza nchini Tanzania, katika makala iliyoandaliwa na Evarist Mapesa na kusimuliwa na Nyota Simba, inaangazia mkunga w

Sauti -
5'27"

Hatimaye waethiopia waliokwama Tanzania warejea nyumbani

Baada ya harakati za kuondoka nchini mwao Ethiopia kwenda kusaka maisha ugenini kukwama nchini Tanzania, hatimaye wahamiaji 463 wa taifa hilo la pembe ya Afrika wamerejea nyumbani kufuatia juhudi za pamoja za serikali za Tanzania, Ethiopia na shirika la uhamiaji la Umoja wa Mataifa, IOM.

Jamii ya sasa wana imani zaidi na hospital kuliko wakunga wa jadi-Mkunga wa jadi

Kwa miaka mingi kabla ya ukuaji wa teknolojia na hata baada ya kuanzishwa hospitali za kisasa, jamii nyingi ziliendelea kuwatumia wakunga wa jadi kuwasaidia akina mama wajawazito kujifungua hususani kwa wale walikuwa mbali na huduma za kiafya.

Sauti -
6'5"

Jamii yetu imenufaika sana na matangazo ya redio za kijamii.

Ikiwa leo ni siku ya redio duniani ambapo ulimwengu unakiangazia chombo hicho ambacho kwa miongo mingi kimekuwa muhimu kupitisha taarifa muhimu kwenda kwa jamii na pia kuwapa wanajamii fursa ya kueleza mawazo yao katika ujenzi wa maisha yao, Umoja wa Mataifa umeamua maadhimisho ya mwaka huu yalen

Sauti -
3'28"

Huduma tunazozitoa sisi wauguzi zimepunguza sana magonjwa Pangani

Kazi ya uuguzi ina panda shuka zake kama zilivyo kazi nyingine lakini kinachotufanya tuendelee kusonga mbele ni pale tunapoona watu wamepona na wameelimika kuhusu afya zao. Ni kauli ya Vailet Prosper ambaye amefanya kazi kwa muda mrefu katika Hospitali ya Pangani mkoani Tanga Tanzania.

Sauti -
3'55"

12 FEBRUARI 2020

Katika Jarida la Habari hii leo anold Kayanda kutoka Umoja wa Mataifa anakuletea

Sauti -
11'36"

Manusura wa ukeketaji na juhudi za kuwaokoa wasichana kuepukana na uovu huo Tanzania

Dunia imeendelea kupambana na ukatili mkubwa wanaofanyiwa wasichana na wanawake lilikwemo suala la ukeketaji ambapo sehemu ya kiungo cha uzazi cha mwanamke aghalabu wasichana wa umri mdogo hukatwa kutokana na imani za mila.

Sauti -
6'1"