Tanzania

FAO Tanzania yawasaidia wakulima kurutubisha lishe kupambana na utapiamlo

Nchini Tanzania shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa (

Sauti -
2'12"

29 DESEMBA 2020

Katika Jarida la Habari za Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea

Sauti -
12'22"

Mpango wa lishe katika kilimo kunusuru watoto na utapiamlo Tanzania

Nchini Tanzania shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) kwa kushirikiana na serikali na wadau wake wameandaa mpango wa miaka mitano wenye lengo la kuoanisha shughuli za kilimo na lishe ili kukabiliana na utapiamlo.
 

Tenda wema nenda zako, msichana Aneth ambaye kitendo chake kimeendelea kuwasaidia wanafunzi viziwi, Chuo Kikuu cha Dare es Salaam

Katika mahojiano kati ya Ahimidiwe Olotu wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa na Aneth Gerana Isaya, msichana kiziwi ambaye ushauri wake alioutoa alipojiunga katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, umeendelea kuwasaidia viziwi wote wanaojiunga kwa masomo katika Chuo hicho kikongwev cha elimu ya

Sauti -
6'51"

Kutoka wavuti hadi shirika, kwa lengo la kuwawezesha wanawake

Katika makala ya Ahimidiwe Olotu wa Kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa UNIC Dar es Salaam ametuandalia makala ya msichana Modesta Joseph aliyeunda wavuti maalum wa kukusanya taarifa za manyanyaso kwa wanafunzi. Wavuti ambao baadaye umegeuka kuwa shirika. 

Sauti -
2'47"

10 Desemba 2020

Sikiliza Jarida la Habari la Desemba 10, 2020 na Flora Nducha

Sauti -
11'42"

Mradi wa kuku, mkombozi wa afya ya mama na mtoto Mvomero, Tanzania

Nchini Tanzania, mradi wa lishe endelevu unaoendeshwa na shirika la watoto la Save the Children kwa ufadhili wa USAID umekabidhi vifaranga vya kuku pamoja na vyakula vyake kwa serikali ya wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro ili visambazwe kwa wananchi.

Dunia inapaswa kutumia utajiri wake kuzuia baa la njaa-WFP 

Mkurugenzi mtendaji wa shirika la mpango wa chkula la Umoja wa Mataifa WFP David Beasly ameiasa dunia kutumia utariji wake kuhakikisha inazuia baa la njaa duniani wakati akipokea rasmi tuzo ya amani ya Nobel ambayo shirika hilo lilitangazwa kushinda mwezi Oktoba.

Vijana wachukua hatua kuchagiza wenzao kushiriki katika maswala ya kijamii Tanzania

Nchini Tanzania, vijana waanzilishi wa asasi ya “They Need Us Initiative” yenye lengo la kuhamasisha vijana kushiriki katika jamii zao kuifanya dunia kuwa mahali bora pa kuishi, wametoa wito kwa wadau mbalimbali kuwaunga mkono katika mkutano wao utakaofanyika mwishoni mwa wiki ijayo. 

Sauti -
1'55"

Huwezi kusema jamii yako imeendelea kama hujatimiza SDGs-They Need Us Initiative 

Nchini Tanzania, vijana waanzilishi wa asasi ya “They Need Us Initiative” yenye lengo la kuhamasisha vijana kushiriki katika jamii zao kuifanya dunia kuwa mahali bora pa kuishi, wametoa wito kwa wadau mbalimbali kuwaunga mkono katika mkutano wao utakaofanyika mwishoni mwa wiki ijayo.