Tanzania

Ugonjwa wa vichomi waendelea kutesa watoto, Tanzania ni miongoni mwa mataifa yaliyo ya idadi ya juu ya vifo- WHO

Ugonjwa unaozuilika wa kichomi unakatili maisha ya watoto  wengi kuliko maradhi mengine yoyote kwa mujibu wa taarifa ya utafiti mpya iliyotolewa leo na mashirika matano ya kimataifa yanayohusika na masuala ya watoto likiwemo la Umoja wa Mataifa la

Sauti -
2'15"

Mradi wa UN na Tanzania wapeleka furaha kwa wanakijiji wa Magunga mkoani Tanga

Mwezi  uliopita wa Oktoba, wakazi wa kijiji cha Magunda, wilaya  ya Korogwe mkoani Tanga nchini Tanzania waligubikwa na furaha isiyo kifani baada ya kushuhudia mashamba yao yakigeuka kuwa kitegauchumi na mtaji kwa ajili ya kuboresha maisha yao.

Sauti -
4'16"

07 Novemba 2019

Hukumu ya John Bosco Ntaganda iliyotolewa leo huko The Hague ndio habari yetu muhimu ikifuatiwa na huko Sudan  Kusini, Umoja wa Mataifa na wadau wafika kambi ya kikundi cha SPLA upande wa upinzani kuona iwapo wanatumikisha watoto na wanawake vitani au la, kisha tunabisha hodi Uganda, ambako serik

Sauti -
13'1"

Tukifanikiwa kuondoa pengo kati ya wanawake na wanaume tutakuwa na jamii endelevu-Kijana Koka

Suala la ajira kwa vijana ni changamoto katika nchi nyingi na sasa hivi kuna wito wa kubadili hali ambapo vijana wenyewe wamechukua jukumu la kujiajiri wenyewe au kufanya kazi za kujitolea.

Sauti -
5'44"

05 Novemba 2019

Jaridani hii leo tunamulika afisa polisi mwanamke kutoka Senegal aliyeshinda tuzo ya mwaka huu ya polisi mwanamke naye anahudumu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC.

Sauti -
11'46"

04 NOVEMBA 2019

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Assumpta Massoi anakuletea 

-UN na wadau walaani shambulio Ituri lililosababisha kifo cha mhudumu wa kijamii aliyekuwa anashughulika na masuala ya Ebola

Sauti -
11'38"

TAMWA Zanzibar imechangia katika kubadili taswira ya mwanamke kwenye jamii- Bi. Issa

Dhamira yetu kubwa kama chama cha wandishi wa habari wanawake, TAMWA visiwani Zanzibar nchini Tanzania ni kuwatetea wanawake na watoto kwa kupaza sauti zao kupitia vyombo vya habari.

Mradi wa mpunga wa FAO wabadili masiha ikiwemo ya vijana

Mradi wa Shirika la chakula na kilimo duniani,

Sauti -
2'56"

31 OKTOBA 2019

Katika Jarida la Habari za Umoja wa Mataifa hii leo Arnold Kayanda anakuletea

-Leo ni siku ya miji duniani Umoja wa Mataifa unatoa wito wa ubunifu kuhakikia miji yenye mnepo na kuviachia vizazi vijavyo dunia bora

Sauti -
11'4"

30 Oktoba 2019

Hii leo jaridani, Arnold Kayanda anaanza na ripoti za uzinduzi wa kamati ya kikatiba kwa taifa la Syria huko Geneva, Uswisi! Imeelezwa kuwa ni tukio la historia.

Sauti -
9'56"