Tanzania

MICT yashukuru Tanzania kwa mafanikio iliyoyapata

Rais wa taasisi ya kimataifa inayoshughulikia masuala yaliyosalia ya makosa ya jinai,MICT  jaji Theodor Meron leo ameshukuru serikali ya Tanzania kwa msaada wake kwa taasisi hiyo wakati akitoa hotuba yake kwenye Kongamano la Umoja wa Mataifa jijini Dar es Salaam

Sauti -
1'49"

MICT yashukuru Tanzania kwa mafanikio iliyoyapata

Rais wa taasisi ya kimataifa inayoshughulikia masuala yaliyosalia ya makosa ya jinai,MICT  jaji Theodor Meron leo ameshukuru serikali ya Tanzania kwa msaada wake kwa taasisi hiyo wakati akitoa hotuba yake kwenye Kongamano la Umoja wa Mataifa jijini Dar es Salaam.

Tanzania inajitahidi kujumuisha wanawake katika TEHAMA: Injinia Ichokeleza

Sekta ya habari na mawasiliano kwa muda mrefu hasa kwenye mataifa yanayoendelea imekuwa ikitawaliwa na wanaume. Lakini katika zama hizi za utandawazi na umuhimu wa malengo ya maendeleo endelevu, SDGs yanayohimiza yeyote asiachwe nyuma na treni ya maendeleo ya 2030.

Sauti -
4'49"

Kijana na ajira nchini Tanzania

Nchini Tanzania kijana Richard Hamisi baada ya kuhitimu shahada yake ya biashara na fedha katika Chuo Kikuu Mzumbe, mwaka jana wa 2018, ameandika wazo la kuanzisha maghala ya kutunzia nafaka katika maeneo yanayozalisha mazao mengi nchini huko kama njia mojawapo ya kuhakikisha mazao yanatunzwa vye

Sauti -
2'9"

Mada kwa kina- Biashara mtandao

Ijumaa ya leo mada kwa kina inamulika biashara  mtandao na manufaa yake kwa jamii hivi sasa hususan zile ambazo wakazi wake wanatumia simu za mkononi na wana uwezo wa kupata mtandao wa intaneti unaowaunganisha kwenye mitandao ya kijamii kama vile Facebook, Instagram na Twitter.

Sauti -
7'39"

04 Januari 2019

Hii leo siku ya Ijumaa tunakuleteta Jarida mahsusi likiwa na uchambuzi wa kina wa mada moja ambayo leo ni Biashara Mtandao.

Sauti -
10'41"