Tanzania

Ufundi cherehani na upanzi wa mboga ni mkombozi kiuchumi kwa wanawake DR

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, mafunzo ya ufundi cherehani yaliyotolewa na walinda amani wanawake kutoka Tanzania kwa wanawake wakazi wa mji wa Beni jimboni Kivu Kaskazini yameanza kuleta matumaini na kudhihirisha jukumu la ulinzi wa amani na uwezeshaji wa jamii nchini humo.

Sauti -
2'15"

Elimu ya afya ya uzazi inachangia vipi vijana kutofikia uwezo wao kikamilifu?

Vijana katika jamii wanatajwa kuwa ni idadi kubwa ya watu katika jamii lakini changamoto zinazowakabili ni nyingi huku likiwa ni kundi ambalo kwa kawaida wanahisi kutoeleweka katika jamii licha ya mahitaji yao maalum. Je nini kinahusika? Na kwanini?

Sauti -
5'35"

23 Agosti 2019

Utafiti zaidi na maendeleo katika vifaa vya kuzuia malaria na tiba ni muhimu ili kutokomeza malaria katika siku zijazo limesema shirika la afya ulimwenguni, WHO

Sauti -
11'9"

Adhabu ya wanafunzi shuleni yazua mjadala kutoka kwa wahusika Tanzania

Upatikanaji wa elimu ni suala ambalo linaghubikwa na changamoto nyingi iwe ni kwa upande wa kufikia elimu yenyewe au pale elimu inapopatikana viwango vyake au mazingira yanayokwamisha ufikiaji wa elimu hiyo. Suala la nidhamu pia na dhamira ya wanafunzi katika kupata elimu pia ni mtihani.

Sauti -
3'31"

22 Agosti 2019

Hii leo tunaanza na taarifa kuhusu siku ya kimataifa ya waathirika wa ghasia zitokanazo na dini au imani ambapo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anataka wale wote wanaotumia imani au dini kuleta chuki na ghasia wasipewe nafasi.

Sauti -
11'52"

Muziki wangu siyo wa biashara bali ni kuhamasisha jamii yangu katika masula mbalimbali-Kala Jeremiah

Ziko namna mbalimbali za kushiriki katika utekelezaji wa malengo 17 ya maendeleo endelevu, SDGs, yaliyopangwa kuwa yametekelezwa ifikapo mwaka 2030.

Sauti -
3'41"

20 Agosti 2019

Je wafahamu kuwa mwanamke mmoja raia wa Cameroon alilazimika kuwavisha wanae wa kiume hijab na sketi ili wasichukuliwe na magaidi wa Boko Haram? Pata basi kisa hiki kwenye jarida letu la leo sambamba na taarifa kutoka Libya kuhusu mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kwenye mji wa kusini wa Murzuq.

Sauti -
11'49"

15 Agosti 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Assumpta Massoi anakuletea 

Sauti -
11'58"

12 Agosti 2019

Katika jarida maalum hii leo Flora Nducha anakuletea

-Ikiadhimishwa siku ya kimataifa ya vijana Umoja wa Mataifa wahimiza elimu waipatayo vijana iende sanjari na hali ya sasa

-Umasikini, elimu duni na vita ni miongoni mwa sababu zinazowafanya vijana wengi kukosa elimu

Sauti -
13'52"

Kuna changamoto katika ufikiaji elimu ya awali Tanzania-UNICEF Tanzania

Elimu ya awali ni nguzo muhimu katika kujengea mtoto uwezo wa kusoma na kuhesabu hata baadaye ikilinganishwa na watoto ambao hawakupata elimu hiyo.

Sauti -
3'47"