Tanzania

Vituo vya kusaidia waathirika wa madawa ya kulevya ni msaada mkubwa

Hii leo ikiwa ni siku ya kupiga vita matumizi ya madawa ya kulevya duniani, vituo vya kusaidia waathirika wa madawa hayo vimekuwa msaada mkubwa wakati huu ambapo Umoja wa Mataifa unasema ya kwamba watu milioni 35 ulimwenguni kote wana matatizo yatokanayo na matumizi ya madawa hayo ilhali ni mtu 1

Sauti -
6'5"

28 Juni 2019

Ijumaa kama kawaida tuna muhtasari wa habari na kubwa zaidi ni mauaji ya watu 117 huko Ituri nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kufuatia mapigano kati ya kabila la walendu na wahema, mauaji hayo ni kati ya tarehe 10 na 13 mwezi huu wa Juni.

Sauti -
9'57"

Madawa ya kulevya huathiri sehemu ya ubongo iliyo karibu na sikio- Daktari

Leo ni siku ya kimataifa ya mapambano dhidi ya matumizi na usafirishaji haramu wa mihadarati. Kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa ni haki kwa ajili ya afya na afya kwa ajili ya haki.

Sauti -
2'14"

"Back To Life" imebadili maisha ya waathirika wa madawa ya kulevya na kuwarejesha katika jamii- Masha Born

Hii leo ikiwa ni siku ya kupiga vita matumizi ya madawa ya kulevya duniani, vituo vya kusaidia waathirika wa madawa hayo vimekuwa msaada mkubwa wakati huu ambapo Umoja wa Mataifa unasema ya kwamba watu milioni 35 ulimwenguni kote wana matatizo yatokanayo na matumizi ya madawa hayo ilhali ni mtu 1

Sauti -
2'7"duration

26 Juni 2019

Leo siku ya kimataifa ya kupiga vita matumizi na usafirishaji wa madawa ya kulevvya tunaanzia nchini Tanzania ambako vituo vya Back To Life vya kusaidia waathirika wa madawa ya kulevya vimekuwa msaada mkubwa kwa kundi hilo.

Sauti -
12'33"

Nilipitia changamoto za wanaume lakini nikawashawishi na kushinda-Mboni Mhita.

Kwa muda mrefu jamii mbalimbali zimeendelea kukumbatia mfumo dume ambapo wanawake wamekuwa wakipewa nafasi ya nyuma baada ya wanaume, iwe katika elimu, maamuzi katika jamii na hata katika nafasi za uongozi.

Sauti -
4'13"

25 Juni 2019

Je wafahamu dagaa na samaki wadogo kutoka mtoni na ziwani ni muarobaini wa lishe bora na kutokomeza umaskini? Imesema

Sauti -
12'14"

24 Juni 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Assumpta Massoi anakuletea

-Baraza la Haki za binadam laanza geneva kamishina Mkuu Michelle Bachelet ataka Cameroon tambueni wapinzani kama wadau wa  mchakato wa amani

Sauti -
10'50"

Tushikamane na wakimbizi kwani wanachokitaka ni amani tu:UN

Umoja wa Mataifa umeisihi dunia kushikamana na wakimbizi ambao wamelazimika kufungasha virago kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo vita, mauaji , njaa na hata mateso kwani wanachokitaka ni amani.

Tusipolinda matumizi ya bahari mabadiliko ya tabianchi yatatuatthiri vibaya:UN

Mkutano wa 20 wa nchi wanachama wa mkataba wa kimataifa wa matumizi ya baharí UNCLOS ukianza leo kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New  York, Marekani, Umoja wa Mataifa umetaka matumizi endelevu ya baharí kuu na eneo mahsusi la kiuchumi baharini ili kuepusha madhara zaidi ya mabadilik

Sauti -
1'33"