Tanzania

Hala-hala wageni mnaokuja Tanzania mifuko ya plastiki marufuku

 

Katika kutekeleza lengo la Umoja wa Mataifa la kutunza mazingira, nchi wanachama zinaendelea kubuni mikakati mbalimbali ya kuhifadhi mazingira  na hali ya hewa kwa ujumla kwa kupiga marufuku uzalishaji na utumiaji wa taka ngumu zikiwemo mifuko ya plastiki.

16-05-2019

Jaridani Mei 16 na Arnold Kayanda pata habari ikiwemo:

-Mtoto 1 kati ya 7 duniani kote huzaliwa na uzito mdogo kupindukia- Ripoti

Sauti -
12'7"

15 Mei 2019

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo assumpta Massoi anakuletea

-Mkutano wa sayansi na wabobevu wa ubunifu umekunja jamvi New york hii leo Dkt. Agness Kijazi kutoka Tanzania ni miongoni mwa washiriki utamsikia

Sauti -
12'23"

Usalama barabarani ni muhimu kwa ajili ya maendeleo endelevu

Ni Jarida la Ijumaa likiwa na mada kwa kina leo tunaangazia usalama wa barabarani katika kutamatisha wiki ya usalama wa barabarani.

Sauti -
5'27"

Ajali za barabarani zazuia manusura kuendelea na harakati zao, Tanzania yachukua hatua

Wiki ya usalama barabarani ikifikia  ukingoni, tunamulika harakati za kuhakikisha kuna usalama kwa siyo tu waenda kwa miguu bali pia abiria, tunaanzia Uganda na tunamalizia Tanzania. 

10 - 05 - 2019

Jaridani leo tunamulika suala la usalama barabarani kwa kuzingatia hii ni wiki ya  usalama barabarani. Tunaanzia  nchini Uganda kuzungumza na manusura wa ajali za barabarani na kisha tunawekwenda Tanzania kuzungumza na mabalozi wa usalama barabarani na mmoja wao ni James Rock Mwakibinga.

Sauti -
9'57"

09 Mei 2019

Katika Jarida na Habari hii leo Arnold Kayanda anakuletea

Sauti -
12'55"

Ukinyamaza utalizwa, sema usikike:Mradi wa Tanzania Bora

Tatizo la ukatili wa kijinsia hususan dhidi ya wasichana na wanawake ni jinamizi linaloighubika dunia na Umoja wa Mataifa na wadau wake wanalishikia bango wakihimiza serikali, asasi za kiraia na kila mtu kuchukua hatua kulikomesha.

Sauti -
5'23"

Umeme wa sola washika kasi Tanzania,  UNDP yaonyesha njia

Lengo namba 7 la malengo ya maendeleo endelevu, SDGs yaliyopitishwa na nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa mwaka 2015, yanataka pamoja na mambo mengine kuhakikisha nishati ya kisasa iliyo nafuu na ya uhakika inapatikana ili kufanikisha shughuli za kila siku za maendeleo.

Sauti -
4'10"

Mshikamano katika haki na usawa kwenye ajira ni muhimu:ILO

Leo ni siku ya wafanyakazi duniani, au Mei mosi ambapo mataifa ikiwemo yale ya barani Afrika yameadhimisha siku hiyo huku shirika la kazi ulimwenguni ukanda wa Afrika Mashariki likitoa wito kufanya kazi kwa pamoja kwa ajili ya kuchagiza usawa, haki kwa jamii na kuimarisha mazingira ya kazi kwa wo

Sauti -
2'15"