Tanzania

Mauji ya watoto Tanzania yatutia hofu:UN

Umoja wa Mataifa nchini Tanzania ,umelaani vikali mauaji ya watoto 10 kwenye mkoa wa Njombe yanayosadikiwa kutokea kutokana na imani za ushirikina.

Sauti -
1'34"

Umoja wa Mataifa walaani mauaji ya watoto mkoani Njombe Tanzania.

Umoja wa Mataifa nchini Tanzania umeeleza kusikitishwa kwake na mauaji ya watoto yaliyotokea mkoani Njombe nchini humo.

Wanawake huko Mtwara nchini Tanzania wachukua hatua kujinasua kutoka kwenye umaskini

Lengo namba 10 la malengo ya maendeleo endelevu, SDGs linaangazia jinsi ya kuondoa pengo la kipato kati ya walio nacho na wasio nacho. Hii ni kwa kuzingatia kuwa ukosefu wa usawa kwenye kipato unaongezeka ambapo asilimia 10 ya matajiri duniani wanamiliki asilimia 40 ya pato la dunia nzima.

Sauti -
3'41"

Asasi za kiraia zachagiza SDGs nchini Tanzania

Tanzania ikijiandaa kuwasilisha mwaka huu Umoja wa Mataifa ripoti yake ya utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu, SDGs, jukwaa la maendeleo endelevu nchini humo limeanzisha utaratibu wa jinsi ya kujumusha mawazo ya wanachama wa jukwaa hilo ambao ni asasi za kiraia.

Sauti -
2'15"

24- 01- 2019

Jaridani leo tunaanzia huko Davos, Uswisi kwenye jukwaa la kiuchumi ambako Umoja wa Mataifa umesema katu hakuna anayeweza kushughulikia peke yake changamoto lukuki zinazokabili dunia hivi sasa.

Sauti -
10'30"

Asasi za kiraia zachagiza SDGs nchini Tanzania

Tanzania ikijiandaa kuwasilisha mwaka huu Umoja wa Mataifa ripoti yake ya utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu, SDGs, jukwaa la maendeleo endelevu nchini humo limeanzisha utaratibu wa jinsi ya kujumusha mawazo ya wanachama wa jukwaa hilo ambao ni asasi za kiraia.

Wanawake wanaopigania haki wanasimamia kazi yao-Bi. Bisimba

“Wanawake labda kwa makuzi yao, wakifanya kitu wanafanya kwa kumaanisha,” hii ni sehemu ya maneno yake Helen Kijo Bisimba, mwanaharakati nguli wa kupigania haki za binadamu nchini Tanzania. Akizungumza na Flora Nducha wa Idhaa hii Bi.

Sauti -
3'38"

Kijana kutoka Tanzania atumia stadi alizozipata kuwezesha vijana wenzake

Lengo namba nane la malengo ya maendeleo endelevu SDGs ya Umoja wa Mataifa linaangazia uchagizaji wa ukuaji uchumi endelevu na jumuishi na ajira yenye matokeo na kazi inayozingatia utu kwa wote.Katika kuangalia hatua zilizopigwa kufikia lengo hilo, takwimu zinaonyesha kuwa ukosefu wa ajira ulikuw

Sauti -
4'47"

MICT yashukuru Tanzania kwa mafanikio iliyoyapata

Rais wa taasisi ya kimataifa inayoshughulikia masuala yaliyosalia ya makosa ya jinai,MICT  jaji Theodor Meron leo ameshukuru serikali ya Tanzania kwa msaada wake kwa taasisi hiyo wakati akitoa hotuba yake kwenye Kongamano la Umoja wa Mataifa jijini Dar es Salaam

Sauti -
1'49"

MICT yashukuru Tanzania kwa mafanikio iliyoyapata

Rais wa taasisi ya kimataifa inayoshughulikia masuala yaliyosalia ya makosa ya jinai,MICT  jaji Theodor Meron leo ameshukuru serikali ya Tanzania kwa msaada wake kwa taasisi hiyo wakati akitoa hotuba yake kwenye Kongamano la Umoja wa Mataifa jijini Dar es Salaam.