Tamko la haki za binadamu

Mkimbizi bila elimu ni sawa na mti bila matunda:Mkimbizi Rachel

Elimu kwa mkimbizi ni muhimu sana, kwani bila elimu huwezi fanya chochote , iwe ni kwa upande wa ajira au hata ujasiriliamali, unakuwa sawa na mti usiozaa matunda ambao huonekana kutokuwa na faida yoyote.

Sauti -
3'32"

Mchango wa wanawake ni bayana katika tamko la haki za binadamu-Bachelet

“Katika siku tano zijazo, kama mjuavyo tutaadhimisha miaka sabini ya nyaraka ya aina yake ambayo ni tamko la haki za binadamu za Umoja wa Mataifa.” Hivyo ndivyo ilivyoanza hotuba yake Kamishna Mkuu wa Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa, Michele Bachelet

Serikali zina wajibu kuhakikisha wananchi wana makazi yenye staha.

Katika uchambuzi wa ibara kwa ibara za tamko la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa, hii leo Assumpta Massoi anamulika ibara ya 15 ambayo inagusia haki ya msingi ya mtu kuishi maisha ya staha.

Sauti -
3'22"