Tamko la haki za binadamu

Baadhi ya watu hunyimwa haki yao ya kumiliki mali

Katika mwendelezo wa kupitia ibara za tamko la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa ambalo mwaka huu wa 2018 linatimiza miaka 70, leo inamulikwa ibara ya 17 inayozungumzia haki ya mtu kumiliki mali yeye mwenyewe au kwa ushirika na mtu mwingine au wengine.

Sauti -
3'17"

Je wajua maana ya haki ya faragha kwa mujibu wa tamko la haki za binadamu?

Mtu ana  haki ya kuwa na faragha katika maisha yake na hii ni kwa mujibu wa ibara ya 12 ya tamko la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa.

Sauti -
2'50"

Tanzania imepiga hatua katika kutekeleza baadhi ya haki za washitakiwa: Henga

Tanzania imepiga hatua katika utekelezaji wa baadhi ya haki za binadamu ikiwemo kuhakikisha haki za  washitakiwa kudhaminiwa, au tutokuchukuliwa kuwa na hatia hadi itakapothibitishwa. 

Mtu hapaswi kukamatwa kiholela

Nchi zinatakiwa kubadili sheria zao ili kwenda sawa na mbinu za sasa za utumwa na utwana.

Sauti -
3'7"

12 Novemba 2018

Jaridani hii leo mwenyeji wako ni Flora Nducha ambapo anaanza kwa kuangazia suala la usugu wa viuavijasumu kwa vijiumbe maradhi na kampeni ya wiki nzima iliyoanza hii leo ili kuelimisha umma juu ya dawa hizo ambazo hutumika kwa wanyama na binadamu.

Sauti -
12'57"

Mbele ya sheria watu wote bila kujali rangi, umri au maumbile ni sawa na wanastahili haki sawa

Takriban miaka 70  imepita tangu  tamko la haki za binadamu litolewe. Tamko hilo lina ibara 30 lakini leo tunaangazia ibara ya SABA.  Ibara hiyo inasema kuwa “Mbele ya sheria watu wote ni sawa na wanastahili haki sawa za kulindwa.

Sauti -
3'54"

Baadhi ya watu wanaozaliwa na hali ya kutoweza kujifunza Uganda hukosa haki zao

Katika mfululizo wa uchambuzi wa ibara za Tamko la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa leo tunaangazia ibara ya 2. Ibara hii inasema kwamba 

Sauti -
4'9"

Tanzania bado kuna changamoto ya utekelezaji wa haki za binadamu

Tamko la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa mwezi disemba mwaka huu wa 2018 linatimiza miaka 70. Tamko hilo ni msingi wa haki za binadamu ulimwenguni kote na lilipitishwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mwaka 1948.

Sauti -
4'9"