Tambura

Kituo cha Afya na vifaa vya matibabu vyaharibiwa na vikundi vinavyojihami huko Tambura Sudan Kusini

Licha ya kutiwa saini kwa makubaliano mapya ya amani  nchini Sudan Kusini mwaka 2018, mapigano bado yanaendelea katika maeneo tofauti tofauti nchini humo ikiwemo mji wa Tambura jimboni Equatoria Magharibi na hivyo kukwamisha harakati za kufikisha huduma za matibabu na wakimbizi wa ndani kuzidi ku

Sauti -
3'1"

19 Oktoba 2021

Hii leo ASSUMPTA MASSOI  anakujuza mengi ikiwemo, watu mashuhuri 34 wanapanda mlima Kilimanjaro ili kuchagiza usawa wa chanjo ya COVID-19.

Sauti -
14'29"

Mkataba wa amani Sudan Kusini bado kitendawili kwa wakazi wa Tambura

Licha ya kutiwa saini kwa makubaliano mapya ya amani nchini Sudan Kusini mwaka 2018, mapigano bado yanaendelea katika maeneo tofauti tofauti nchini humo ikiwemo mji wa Tambura jimboni Equatoria Magharibi na hivyo kukwamisha harakati za kufikisha huduma za matibabu na wakimbizi wa ndani kuzidi kutaabika.

Jarida 14 Septemba 2021

Hii leo katika jarida tutasikia kuhusu mkutano wa 75 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA75 unaofungwa rasmi hii leo na kufunguliwa kwa mkutano wa 76 au UNGA76.

Sauti -
15'6"

Ukosefu wa maji safi wasababisha UNMISS kuanzisha doria ya kufuata maji msituni

Kwa kutambua ukosefu wa usalama na uhaba wa maji unaowakabili wakimbizi wa ndani walioko Tambura nchini Sudan Kusini, walinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini humo wameanzisha doria maalum ya kuwasindikiza wakimbizi hao kuteka maji  maji ili kuwahakikishia usalama katika kusaka rasilimali hiyo ad

Sauti -
2'53"

UNMISS waanzisha doria maalum ya kwenda kuchota maji

Kwa kutambua ukosefu wa usalama na uhaba wa maji unaowakabili wakimbizi wa ndani walioko Tambura nchini Sudan Kusini, walinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini humo wameanzisha doria maalum ya kuwasindikiza wakimbizi hao kuteka maji  maji ili kuwahakikishia usalama katika kusaka rasilimali hiyo adhimu

UNMISS waimarisha doria Sudan Kusini

Walinda amani wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini,

Sauti -
2'51"

UNMISS waendelea kufanya doroa za barabarani ili kuwalinda wanaofurushwa na mzozo wa kijamii Sudan Kusini 

Walinda amani wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini, UNMISS wanaendelea na doria ya barabarani kutoka Tambura hadi Ezo katika Jimbo la Equatoria Magharibi nchini Sudan Kusini kutathmini hali ya usalama na kibinadamu kufuatia kuzuka kwa mzozo mkali unaoendelea katika eneo hilo.

Vikundi vipya vya vijana wenye silaha vyaibuka nchini Sudan Kusini

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Sudan Kusini UNMISS umeeleza kuwa hali ni mbaya kwenye eneo la Tambura katika jimbo la Ikweta Magharibi kutokana na kuongezeka kwa vikundi vya vijana wenye silaha waliotokea katika jamii za Azande na Balanda.

Mkimbizi asimulia alivyokatwa sikio na kutakiwa kulila

Kijana Gatwech mkimbizi wa ndani akiwa katika kambi muda ya wakimbizi kwenye  ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani Sudan Kusini

Sauti -
3'20"