sudan kusini

UNMISS yashirikiana na Sudan Kusini kujiandaa kwa ajili ya COVID-19

Soko la kila wiki huko Sakure, karibu na mpaka kati ya Sudani Kusini na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC limefungwa kama sehemu ya juhudi za Serikali ya Sudani Kusini kudhibiti tishio la kimataifa la virusi vya corona au

Sauti -
2'43"

02 APRILI 2020

Katika Jarida la habari hii leo assumpta Massoi anakuletea

Sauti -
12'59"

Hofu ya maambukizi ya COVID-19 yasababisha soko la Sakure kufungwa nchini Sudan Kusini

Soko la kila wiki huko Sakure, karibu na mpaka kati ya Sudani Kusini na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC limefungwa kama sehemu ya juhudi za Serikali ya Sudani Kusini kudhibiti tishio la kimataifa la virusi vya corona au COVID-19

Nafikiri haya ni maisha bora ambayo nimewahi kuwa nayo tangu nimezaliwa.-Nakout Slylvia

Nakout Sylvia alitekwa nyara na kikundi cha waasi cha Uganda mnamo 2003 na alikamatwa mateka kwa miaka 12 huko Afrika ya Kati. Kama matokeo ya unyanyasaji wa kijinsia wa kila mara, aliambukizwa Virusi Vya UKIMWI, VVU.

Sauti -
2'19"

23 Machi 2020

Assumpta Massoi : Hujambo na Karibu kusikiliza Jarida kutoka Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa, kutoka hapa New York Marekani.

JINGLE (04”)      

ASSUMPTA:Ni jumatatu  ya  Machi Ishirini na tatu mwaka 2020, mwenyeji wako studioni hii leo ni mimi ASSUMPTA MASSOI 

Sauti -
11'28"

Kamwe sitakata tamaa. Nitashinda!-Nakout Slylvia

Nakout Sylvia alitekwa nyara na kikundi cha waasi cha Uganda mnamo 2003 na alikamatwa mateka kwa miaka 12 huko Afrika ya Kati. Kama matokeo ya unyanyasaji wa kijinsia wa kila mara, aliambukizwa Virusi Vya UKIMWI, VVU. Nakout baadaye alifanikiwa kutoroka na akapata hifadhi nchini Finland ambako sasa ameanza kujifunza mchezo wa gofu wa frisbee ambao ni maarufu nchini Finland. Je maisha yake hivi sasa yako vipi?

Uvamizi wa nzige waleta tafrani kwa wakazi nchini Sudan Kusini

Kutokana na uvamizi wa nzige katika maeneo kadhaa ya Afrika kuendelea kuwa tishio kwa uhakika wa chakula na maisha, nchini Sudan Kusini wakulima wameamua kutumia moto na kupiga kelele ili kujaribu kuwazuia nzige huku wakihofia kuwa uvamizi wa nzige hao kuwa wa muda mrefu kwani ni msimu wa kuangua

Sauti -
2'37"

Wakulima wengine walianza kuwaficha watoto wao wakidhani nao wataliwa na nzige-Mkulima Sudan Kusini

Kutokana na uvamizi wa nzige katika maeneo kadhaa ya Afrika kuendelea kuwa tishio kwa uhakika wa chakula na maisha, nchini Sudan Kusini wakulima wameamua kutumia moto na kupiga kelele ili kujaribu kuwazuia nzige huku wakihofia kuwa uvamizi wa nzige hao kuwa wa muda mrefu kwani ni msimu wa kuangua mayai. 

Tuko pamoja na serikali ya Sudan Kusini katika vita dhidi ya COVID-19:UN

Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini umetangaza hatua mpya katika kusaidia juhudi zinazoongozwa na serikali ya Sudan kusini katika kuzuia na kujiandaa na mlipuko wa virusi vya Corona, COVID-19

Sauti -
1'46"

19 MACHI 2020

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Assumpta Massoi anakuletea

Sauti -
12'32"