sudan kusini

Malakal Sudan Kusini watumia bendi ya muziki inayoeneza amani

Mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini,

Sauti -
2'14"

UNMISS yaeleza kuwa watu 135,000 wametawanywa na mafuriko Bor wengine wapoteza kila kitu

Watu 135,000 wametawanywa na mafuriko katika eneo la Bor na Twic kwenye jimbo la Jonglei nchini Sudan Kusini huku wengine wakipoteza kila kitu kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini humo. Jason Nyakundi na maelezo zaidi.

Sauti -
2'21"

Yambio Sudan Kusini, UNMISS na wadau wakabidhi vyumba 16 vya huduma za dharura za COVID-19

Mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini 

Sauti -
2'23"

17 AGOSTI 2020

Katika Jarida la habari hii leo Flora Nducha anakuletea

Sauti -
11'3"

Kuendeleza huduma za msingi Sudan Kusini ni muhimu katika mapambano ya COVID-19:UNICEF

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF, limesema muendelezo wa huduma za msingi zikiwemo chanjo kwa watoto Sudan Kusini ni muhimu sana katika vita dhidi ya janga la corona au COVID-19 na maradhi mengine.

Theluthi mbili ya wakimbizi milioni mbili wa Sudan Kusini ni watoto-UNHCR 

Takwimu za shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR zinaonesha kuwa theluthi mbili ya raia milioni mbili wa Sudan Kusin

Sauti -
2'28"

Theluthi mbili ya wakimbizi milioni mbili wa Sudan Kusini ni watoto-UNHCR

Takwimu za shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR zinaonesha kuwa theluthi mbili ya raia milioni mbili wa Sudan Kusini wanaoishi uhamishoni, ni watoto.

28 JULAI 2020

Katika jarida la Umoja wa Mataifa hii leo na Assumpta Massoi 
 
Sauti -
12'

Njaa inayosababishwa na vurugu Sudan Kusini inatishia maisha ya maelfu ya watu

Vurugu za mara kwa mara katika eneo la Jonglei na Pibor, mashariki mwa Sudan Kusini tayari zimewatawanya watu 60,000 na zinalemaza uhakika wa chakula na ustawi wa watu, mashirika mawili ya Umoja wa Mataifa, lile la mpango wa chakula WFP na la chakula na kilimo FAO, yameonya kupitia taarifa iliyotolewa hii leo katika mji mkuu wa nchi hiyo, Juba.

Sudan Kusini yatimiza miaka 9 ya uhuru inachokijua ni vita badala ya amani:UNHCR

Leo ni miaka tisa kamili tangu Sudan Kusini taifa changa kabisa duniani lijinyakulie uhuru baada ya kujitenga na Sudan.

Sauti -
1'59"