01 AGOSTI 2023
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambapo mradi wa serikali ya DRC na UN Women wajengea uwezo wajasiriamali Goma. Pia tunakuletea habari kwa ufupi kutoka IFAD, FAO, WHO na UNICEF ikiwa ni pamoja na Tamko la Haki za binadamu. Mashinani tunakupeleka nchini Sudan, kulikoni?