Siku za UN

Tumejisikia fahari kutokana na hatua ya kuhamasisha kazi yetu itambulike kama kazi ya muhimu-Mabaharia 

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kupitia ujumbe wake kuhusu siku ya baharia inayoadhimishwa hii leo kama ilivyo ada ya kila tarehe 25 ya mwezi Juni, ametoa wito kwa mat

Sauti -
3'47"

Bila mabaharia uchumi wa dunia hauwezi kufanya kazi-Guterres

Ikiwa leo ni siku ya mabaharia duniani, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema kuwa sasa ni wakati muafaka wa kuwapa mabaharia heshima wanayoistahili.

Sauti -
2'46"

Bila mabaharia uchumi wa dunia hauwezi kufanya kazi-Guterres

Ikiwa leo ni siku ya mabaharia duniani, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema kuwa sasa ni wakati muafaka wa kuwapa mabaharia heshima wanayoistahili.

Jamii haikubali kifo, mume anapofariki dunia, huamini mke amemuua- Christine

Hii leo ulimwengu unaadhimisha siku ya kimataifa ya wajane ambao mara nyingi wanapobakia wenyewe pindi wenza wao wanapofariki dunia ni kutaabika kiuchumi na kijamii. Mathalani taabu katika kulea watoto na changamoto nyingine za kifamilia.

Sauti -
5'21"

Watumishi wa umma wapongezwa na UN kwa huduma na mchango muhimu

Wakati dunia ikiendelea kupambana na janga la corona au COVID-19 Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres leo amewaenzi watumizi wa umma walio mstari wa mbele katika kupambana na janga hili na pia kwa huduma yao ya muhimu kwa binadamu.

COVID-19 imetumbukiza wajane katika hali ngumu zaidi - Guterres

Ikiwa leo ni siku ya wajane duniani Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametaka kuangaziwa zaidi kwa kundi linalosahaulika mara kwa mara, wajane, hususan wakati huu wa janga la ugonjwa wa virusi vya Corona au COVID-19.
 

Siku ya Yoga, UN yaangazia mazoezi ya utamaduni wa zani kukabili COVID-19

Leo ni siku ya kimataifa ya Yoga ambayo ni maadhimisho ya sita ya Umoja wa Mataifa yanayofanyika kila mwaka Juni 21, kwa lengo la kutambua aina ya zamani ya mazoezi haya kama njia ya kuboresha afya na ustawi, lakini pia kama nyenzo yenye uwezo wa kukabiliana na changamoto na msongo uliosababishwa na janga la virusi vya corona au COVID-19.

Ingawa mimi ni mkimbizi lakini Kakuma ni nyumbani:Nhial Deng

Kutana na Nhial Deng mkimbizi kutoka Sudan Kusini anayeishi katika moja ya kambi kubwa ya wakimbizi ya Kakuka nchini Kenya. Leo anatueleza jinsi siku yake inavyokua na anavyojilinda na janga la COVID-19.

Afya ya binadamu inategemea afya ya sayari tunayoishi:Guterres

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya kukabiliana na ongezeko la jangwa na ukame duniani Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameisihi dunia kulinda ardhi ya sayari tunayoishi kwani afya ya binadamu inategemea afya ya sayari hiyo.