Siku za UN

18 DESEMBA 2019

Jaridani leo Jumatano Desemba 18, 2019 na Arnold Kayanda:

-Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa pamoja na viongozi wengine wa juu wa Umoja wa Mataifa, wametoa wito kwa dunia kuhakikishia ulinzi wa haki za binadamu kwa wahamiaji.

Sauti -
13'43"

12 Desemba 2019

Hii leo siku ya huduma ya afya kwa wote Umoja wa Mataifa wataka serikali zitimize ahadi ya kuwapatia wananchi wao huduma za afya, huko Uganda wananchi wahoji kulikoni viongozi wakiugua wao waende kutibiwa nje, sisi je?

Sauti -
11'21"

Guterres awakumbusha viongozi kuhusu deni yao ya huduma ya afya kwa wote

Katika Siku ya huduma za afya kwa wote, hii leo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mastaifa  ametoa wito kwa viongozi wa dunia kutimiza ahadi waliyoitoa mwezi Septemba mwaka huu na kuhakikisha afya kwa wote ni hali halisi kwa kila mtu, kila mahali. 

Sauti -
2'5"

Viongozi ahadi ni deni tutimize kwa huduma ya afya kwa wote:Guterres

Katika Siku ya huduma za afya kwa wote, hii leo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mastaifa  ametoa wito kwa viongozi wa dunia kutimiza ahadi waliyoitoa mwezi Septemba mwaka huu na kuhakikisha afya kwa wote ni hali halisi kwa kila mtu, kila mahali. 

Milima ni muhimu kwa vijana na mustakabali wetu:FAO

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya milima vijana wameelewa kuwa ndio wanaoendesha ajenda ya mabadiliko ya tabianchi na wanaweza kusaidia katika nyanja zote ikiwemo mfumo wa maisha kupitia milima.

Viijana kutoka Kenya wazungumzia nafasi ya maandamano na haki za binadamu

Mchango wa vijana umeelezwa kuwa ni muhimu na wa lazima katika kuhakikisha haki za binadamu zinadumishwa kote dunani. Jason Nyakundi na taarifa kamili.

Sauti -
1'25"

10 Desemba 2019

Hii leo siku ya haki za binadamu duniani nafasi ya vijana inapigiwa chepuo na ikielezwa kuwa wana haki ya kuandamana kudai haki zao huku vijana nchini Kenya nao wakisema kuwa hiyo ni haki yao lakini wakati mwingine hata kuandamana hakuleti matokeo chanya hadi pale serikali inapoguswa.

Sauti -
10'40"

Mchango wa vijana ni muhimu katika kuhuisha haki za binadamu: UN

Mchango wa vijana umeelezwa kuwa ni muhimu na wa lazima katika kuhakikisha haki za binadamu zinadumishwa kote duniani. 

Katibu Mkuu Guterres asema katu tusikubali ufisadi ukwamishe SDGs.

Ikiwa leo ni siku ya kupinga rushwa na ufisadi duniani, Umoja wa Mataifa unataka hatua bunifu zaidi kushinda vita hivyo ambavyo vinapora rasilimali muhimu kwa ajili ya maendeleo  ya wananchi. Brenda Mbaitsa na maelezo zaidi.

Sauti -
2'21"

Katu tusikubali ufisadi ukwamishe SDGs- Guterres