Siku ya wazee

Siku ya wazee, hali ya wazee Uganda yamulikwa

Leo Oktoba Mosi ni siku ya wazee duniani ambapo mwaka huu kauli mbiu ni “safari ya kuzeeka kwa usawa” kwa kutambua kwamba malengo ya maendeleo endelevu, SDGs yatafikiwa pale tu watu wa umri wote wamejumuishwa.

Sauti -
2'42"

Maisha ya mzee yasalia mashakani, Uganda

Leo Oktoba Mosi ni siku ya wazee duniani ambapo mwaka huu kauli mbiu ni “safari ya kuzeeka kwa usawa” kwa kutambua kwamba malengo ya maendeleo endelevu, SDGs yatafikiwa pale tu watu wa umri wote wamejumuishwa.

1 Oktoba 2019

Jaridani Oktoba Mosi na Arnold Kayanda:

-Pata habari kuanzia leo ni skiu ya wazee duniani ambapo tumeangazia hali ya mzee nchini Uganda

Sauti -
12'59"

Simama kidete sasa kupigania haki za wazee:UN

Katika kuelekea siku ya kimataifa ya wazee ambayo kila mwaka huadhimishwa Oktoba Mosi, mtaalam huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu wazee kufurahia haki zote za binadamu ametoa wito kwa kila mtu kusimama kidete kwa ajili ya kuhakikisha haki za wazee zinatimizwa.

Wazee wanastahili huduma na haki kama watu wengine:Kariuki

Wazee wanakabiliwa na changamoto nyingi katika jamii, kuanzia huduma za msingi, ikiwemo afya, malazi, mavazi na hata mlo.

Sauti -
1'45"