Siku ya watu wenye ulemavu

Siyo ulemavu wote unaonekana-Wataalam wa Afya

Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya kimataifa ya walemavu na kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa “sio ulemavu wote unaonekana” ni bayana kuwa  watu wengi duniani wanaishi na ulemavu wa aina fulani ambao hauonekani ambao wakati mwingine unaweza kuchukuliwa kuwa labda tabia zao na hata watu hao

Sauti -
3'46"

NI muhumi matarajio na haki za watu wenye ulemavu zijumuishwe-Guterres

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya watu wenye ulemavu Katibu Mkuu wa umoja wa Mataifa amesema wakati dunia ikijikwamua kutoka kwenye janga la COVID-19 ni lazima kuhakikisha kwamba matarajio na

Sauti -
1'55"

03 Desemba 2020

Sikiliza Jarida la Habari la Alhamisi, Desemba 2020 na Flora Nducha kwa habari, makala na maoni kutoka mashinani.

Sauti -
12'9"

Wanafunzi wenye ulemavu Malawi waelimishwa kuhusu COVID-19 

Janga la ugonjwa wa Corona, COVID-19 likiendelea kushika kasi katika baadhi ya nchi, Umoja wa Mataifa nao kupitia shirika lake la kuhudumia watoto UNICEF nchini Malawi pamoja na wadau, wamechukua hatua kuhakikisha kuwa watoto wenye ulemavu hawaachwi nyuma katika kupata elimu ya kujikinga dhidi ya ugonjwa huo.

Ulemavu sio kulemaa tunachotaka ni kujumuishwa: Mbunge Mollel

Siku hii ya kimataifa ya watu wenye ulemavu inapoadhimishwa kote duniani watu wenye ulemavu wamekuwa wakipaza sauti zao kila kona kwamba ulemavu sio kulemaa wanachohitaji ni ujumuishwashi na miundombinu Rafiki itakayowawezesha kushiriki katika kusongesha mbele ajenda ya maendeleo endelevu kama we

Sauti -
5'35"

Kuna pengo la ujumuishwaji katika ulemavu na maendeleo:UN Ripoti

Umoja wa Mataifa leo umezindua ripoti yake ya kwanza kabisa kuhusu ulemavu na maendeleo ambayo imetolewa na kuchapishwa na watu  wenye ulemavu kwa ajili ya kundi hilo, kwa matumaini ya kuchagiza fursa zaidi na kuwa na jamii jumuishi zisizowaacha nyuma watu wenye ulemavu.

03 Disemba 2018

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa leo Siraj Kalyango anaangazia

-Kuanza kwa mkutano wa kimataifa wa mabadiliko ya tabia nchi COP 24, Umoja wa Mataifa ukihizima ufadhili na kasi ya kupambana na mabadiliko hayo

Sauti -
14'42"

Tufanye kazi kwa pamoja kutimiza haki kwa watu wenye ulemavu-Guterres

Zaidi ya watu bilioni moja duniani wana aina fulani  ya ulemavu na katika jamii nyingi, watu hao wanatengwa, wanakabiliwa na upweke na unyanyapaa.