Siku ya watu wenye ulemavu

Siyo ulemavu wote unaonekana-Wataalam wa Afya

Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya kimataifa ya walemavu na kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa “sio ulemavu wote unaonekana” ni bayana kuwa  watu wengi duniani wanaishi na ulemavu wa aina fulani ambao hauonekani ambao wakati mwingine unaweza kuchukuliwa kuwa labda tabia zao na hata watu hao

Sauti -
3'46"

NI muhumi matarajio na haki za watu wenye ulemavu zijumuishwe-Guterres

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya watu wenye ulemavu Katibu Mkuu wa umoja wa Mataifa amesema wakati dunia ikijikwamua kutoka kwenye janga la COVID-19 ni lazima kuhakikisha kwamba matarajio na

Sauti -
1'55"

03 Desemba 2020

Sikiliza Jarida la Habari la Alhamisi, Desemba 2020 na Flora Nducha kwa habari, makala na maoni kutoka mashinani.

Sauti -
12'9"

Wanafunzi wenye ulemavu Malawi waelimishwa kuhusu COVID-19 

Janga la ugonjwa wa Corona, COVID-19 likiendelea kushika kasi katika baadhi ya nchi, Umoja wa Mataifa nao kupitia shirika lake la kuhudumia watoto UNICEF nchini Malawi pamoja na wadau, wamechukua hatua kuhakikisha kuwa watoto wenye ulemavu hawaachwi nyuma katika kupata elimu ya kujikinga dhidi ya ugonjwa huo.