Siku ya wanyama pori

Misitu ni uhai wa binadamu na wanyamapori- Guterres

Misitu ni uhai na sio tu kwa binadamu na mazingira bali pia kwa asilimia 80 ya viumbe vyote vya porini, hivyo kutumia vyema na kuilinda ni kwa maslahi ya watu wote, sayari dunia na maendeleo amesema Katib

Sauti -
1'57"

03 Machi 2021

Hii leo jaridani tunamulika siku ya usikivu wa masikio duniani halikadhalika siku ya wanyamapori duniani. Kumbuka kuwa mtu mmoja kati ya wanne yuko hatarini kupoteza uwezo wa sikio lake kusikia. Je wewe unatunza sikio lako namna gani?

Sauti -
11'59"

Uharibifu wa misitu unatishia uhai wa wanyamapori na binadamu- Guterres

Misitu ni uhai na sio tu kwa binadamu na mazingira bali pia kwa asilimia 80 ya viumbe vyote vya porini, hivyo kutumia vyema na kuilinda ni kwa maslahi ya watu wote, sayari dunia na maendeleo amesema Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres katika ujumbe wake wa siku ya wanyamapori duniani inayoadhimishwa leo.