Siku ya wanawake duniani 2014

Wanawake Tanzania wainua vipato vyao kwa kutumia teknolojia

Wanawake nchini Tanzania wanasema kwa kutumia teknolojia wamefanikiwa kuinua vipato vyao katika ujasiriamali na hivyo kuwasaidia katika kuinua uchumi wa familia na jamii nzima kwa ujumla.

Sauti -

Wanawake watakiwa kutumia uhuru na mitaji kujikwamua kiuchumi

Wanawake watakiwa kutumia uhuru na mitaji kujikwamua kiuchumi

Mitaji midogo nauhuru walionao wanawake ni sehemu ya nyenzo muhimu ambazo ikiwa watazitumia zinaweza kuwainua kiuchumi na hata kijamii, amesema mmoja wa wanawake wafanyabiashra wakubw anchini Uganda

Sauti -

Juhudi za kujikomboa za wanawake walioko maeneo ya mizozo zaangaziwa:DRC

Juhudi za kujikomboa za wanawake walioko maeneo ya mizozo zaangaziwa:DRC

Tukiwa tunaelekea siku ya wanawake duniani March 8, je wanawake walioko katika meoneo yaliyokumbwa na mizozo wanafanya nini kujikomboa kiuchumi na kijamii?

Sauti -