Siku ya wanawake duniani 2014

Wanawake wa pemebezoni wajitutumua na kuanzisha kiwanda cha maziwa

Wanawake wa pemebezoni wajitutumua na kuanzisha kiwanda cha maziwa

Huko mkoani Manyara nchini Tanzania kuliko na jamaii ya pembezoni ya wamasai, wanawake wameaumua kuchukua hatua za uzalishaji ili kuinua uchumi wa familia zao na jamii kwa ujumla.

Sauti -

Mamilioni ya wanawake bado wanakabiliana na vikwazo kazini: ILO

Mamilioni ya wanawake bado wanakabiliana na vikwazo kazini: ILO

Shirika la Ajira Duniani, ILO, limesema kuwa wakati Siku ya Kimataifa ya Wanawake ikiadhimishwa hapo kesho Machi 8, wanawake bado wanakabi

Sauti -

Uwepo wa wanawake kwenye vikao huleta mabadiliko: Bi. Santos Pais

Uwepo wa wanawake kwenye vikao huleta mabadiliko: Bi. Santos Pais

Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika kupinga ukatili dhidi ya watoto Marta Santos Pais amesema amekuwa akitumia fursa ya uwepo wake ndani ya Umoja huo kuchagiza hatua za mabadil

Sauti -

Ujumbe wa mwaka huu kwa siku ya wanawake ni dhahiri: Mkuu UN-Women