Mikunde imetusaidia kutuimarisha kiafya na kielimu- Wanafunzi Njombe Tanzania
Nchini Tanzania tayari wanafunzi wa shule za msingi wameanza kunufaika na maadhimisho ya siku ya mikunde duniani kwa kutambua kuwa Umoja wa Mataifa unasisitiza matumizi ya mimea ya jamii ya mikunde katika sio tu kuhimili mabadiliko ya tabianchi kwa kustahimili ukame, bila pia nafasi yake katika kuimarisha lishe kwa walaji.