Siku ya kuelimisha umma kuhusu ukatili dhidi ya wazee

Hatua za kupambana na COVID-19 zimeongeza ugumu wa maisha kwa wazee Uganda

Ikiwa leo ni siku ya uelimishaji kuhusu ukatili dhidi ya wazee duniani, tunaelekea nchini Uganda kuangazia hali ya wazee kiafya na kijamii kutokana na vikwazo vya kudhibiti kuenea kwa COVID-19

Sauti -
2'34"