siku ya elimu duniani

Jaribio la elimu bora ulimwenguni, linakabiliwa na changamoto kubwa

Kuunganisha ushirikishaji, elimu bora na malengo ya maendeleo endelevu, SDGs, vilikuwa sehemu kubwa ya mjadala wa leo wakati Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Tijjani Muhammad Bande alipoendesha mkutano kuhusu siku ya kimataifa ya elimu.

Guterres atoa wito dunia kuweka elimu kama kipaumbele ili kufikia malengo ya SDGs

Wakati dunia ikiadhimisha siku ya kimataifa ya elimu kwa mara ya kwanza hii leo, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres katika ujumbe wake kwa siku hii amesema, elimu hubadilisha maisha.

24- 01- 2019

Jaridani leo tunaanzia huko Davos, Uswisi kwenye jukwaa la kiuchumi ambako Umoja wa Mataifa umesema katu hakuna anayeweza kushughulikia peke yake changamoto lukuki zinazokabili dunia hivi sasa.

Sauti -
10'30"

Siku ya elimu duniani, UNESCO yasema mwamko katika ushirikiano kimataifa wahitajika kufanikisha SDG4

Leo Januari 24 ni siku ya kimatifa ya elimu duniani ambayo inaadhimishwa kwa mara ya kwanza tangu kupitishwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mwezi Desemba mwaka jana kwa kutambua umuhimu wa elimu katika kubadili dunia na kufikia ajenda ya 2030 ya maendeleo endelevu.