Security Council

Baraza la Usalama launga mkono harakati za kibinadamu huko Mosul

Baraza la Usalama launga mkono harakati za kibinadamu huko Mosul

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo limeunga mkono jitihada za Umoja wa Mataifa na wadau wake chini ya uratibu wa serikali ya Iraq, za kufikisha misaada ya kibinadamu kwenye mji wa Mosul na viunga vyake, nchini Iraq.

Sauti -

Kobler aonya uwezekano wa migogoro mipya Libya

Kobler aonya uwezekano wa migogoro mipya Libya

Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya, Martin Kobler ameonya juu ya hatari ya kuzuka kwa migogoro mipya kufuatia mwelekeo wa hali ya sasa nchini humo.

Sauti -

UNSOM yakaribisha ari ya kuleta maelewano Gaalkacyo

UNSOM yakaribisha ari ya kuleta maelewano Gaalkacyo

Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa huko Somalia, Michael Keating amekaribisha makubaliano ya hii leo kati ya marais Abdiweli Mohamed Ali "Gaas" wa jimbo la Puntland na Abdikarim Huss

Sauti -