Security Council

Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa Yemen awasiliana na Rais Abd Rabbo Mansour Hadi

Mwakilishi maalum wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen Ismail Ould Cheikh Ahmed amewasili mjini Aden leo kwa ajili ya mikutano na Rais Abd Rabbo Mansour Hadi ,Waziri Mkuu Ahmed bin Daghr na Waziri Abdel Malik Mekhlafi.  Hii ni baada ya mjumbe huyo maalum kumaliza mikutano na viongozi waandamizi kutok

Sauti -

Ukosefu wa maji mjini watishia sitisho la mapigano Syria

Ukosefu wa maji mjini watishia sitisho la mapigano Syria

Zaidi watu milioni tano wakazi wa mji Damascus, bado hawana maji hatua inayotia uendelevu wa sitisho la mapigano katika eneo la Wadi barada nchini Syria.

Sauti -

Mwaka 2017 ulete unafuu Afrika Magharibi: O’Brien

Mwaka 2017 ulete unafuu Afrika Magharibi: O’Brien

Baraza la usalama limekutana leo kujadili amani na usalama barani Afrika ambapo mkutano huo umejikita katika hali kwenye ukanda wa Afrika Magharibi.

Sauti -

Wanachama wa UM wazungumzia jinsi ya kuzuia migogoro

Wanachama wa UM wazungumzia jinsi ya kuzuia migogoro

Wanachama wa Umoja wa Mataifa leo wameshiriki mjadala wa wazi wa Baraza la Usalama la Umoja huo ukiangazia uzuiaji wa migogoro na uendelezaji wa amani.

Sauti -

GBV yaangaziwa magharibi mwa Afghanistan

GBV yaangaziwa magharibi mwa Afghanistan

Kampeni dhidi ya vitendo vya ukatili wa kijinsia, GBV ilikuwa kitovu cha harakati za uhamasishaji zilizoendeshwa na Umoja wa Mataifa nchini Afhganistan mwaka 2016.

Sauti -