Security Council

Baraza la usalama lapitisha azimio kulaani jaribio la kuzuia demokrasia Gambia

Baraza la usalama lapitisha azimio kulaani jaribio la kuzuia demokrasia Gambia

(Natts….)

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kwa kauli moja mchana wa leo Alhamisi limepitisha azimio kulaani jaribio la Rais Yahya Jameh aliyeshindwa kwenye uchaguzi wa Desemba mwaka jana kukataa kuondoka madarakani.

Sauti -

Somalia: Ripoti mpya yaelezea ukiukwaji dhidi wavulana na wasichana

Somalia: Ripoti mpya yaelezea ukiukwaji dhidi wavulana na wasichana

Ukiukwaji mkubwa wa haki dhidi ya wavulana na wasichana ulifanywa bila kukujali katika kipindi cha miaka kadhaa nchini Somalia ikielezwa ni kutokana na uvunjaji wa sheria na utaratibu na kukosekana kwa  serikali imara.

Sauti -

Shambulio nchini Mali, watu 60 wauawa wengine wamejeruhiwa

Shambulio nchini Mali, watu 60 wauawa wengine wamejeruhiwa

Watu 60 wameuawa na wengine makumi kadhaa wamejeruhiwa katika shambulio lililotokea asubuhi huko Gao nchini Mali kwenye kambi ya watendaji wa kusimamia mchakato wa amani nchini humo.

Sauti -

Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa Yemen awasiliana na Rais Abd Rabbo Mansour Hadi